Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Chagua upande kisha weka hoja makini, sifa, wema, ubaya, uzuri ujanja, mahusiano, mitazamo na maono ya kila upande..

Jitahidi usiweke kejeli za kuudhi sana.. Matusi na dhihaka zinazokera. Tuepuke ishu za vibamia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kina Mario...

Kina sugar daddy na sugar mummy. Wa mikoani mupo?

Twende kazi..
 
Wa mkoani nipo hapa, mara ya kwanza kufika dar mm nilijua ni mji wa maduu watupu coz wengi ni weupe na wameva nguo za kubana makalio na supu. Nilipofka Uswahilini lahaula nikakuta vitoto vinakimbiza wababa na visu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mshana jr naww ni wa dar....[emoji38] [emoji13] [emoji13] Angee panya road nyuma yakoo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
IMG-20160225-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom