Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Ndio maaana hawawez kutafuna miwa siku hzwanaume wa dar wakienda kwenye kwenye migahawa mpaka Samaki wanaomba wasaidiwe kutolewa miba. ni aibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maaana hawawez kutafuna miwa siku hzwanaume wa dar wakienda kwenye kwenye migahawa mpaka Samaki wanaomba wasaidiwe kutolewa miba. ni aibu sana
Msimamo wako ni upi..Nshawachonganisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanaume wa dar wanapenda kujichubua, wanatengeneza kucha kama dada zao, wapo nyoronyoro sana, wamekuwa wakilalamikiwa sana kuwa hawawezi kula papuchi vizuri, wanapenda kula chips kavu na miguu ya kuku wale wa mwezi mmoja
Ww ni wa dar bwana[emoji85] [emoji85] [emoji120] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Msata kilingeni
Nina uhakika huwez tafuna mse wa mchikichi au kutafuna ngazi[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wa mikoani
1. hawajui kuvaa
2. washamba, wanaigana sana na kufata mkumbo, mfano akiona mwenzie kaoa na yeye anataka aoe kumbe kiuhalisia bado hawezi kummudu mwanamke kulingana na kipato.
3. wakija dar wanajua posta, fery, na mliman city tu, usipowapeleka hayo maeneo wanaona kama hawajafika dsm
4. nguvu nyingii akili nukta
5. wanapigwa sana vibuti na madem, anaweza kumtumia pesa mwanamke ambaye hajawahi kumuona
6. ndio wanaoongoza kubwagwa na madem zao
7.wabishi sana, hata kama kitu cha kweli atataka league
8. hawazipendi timu zao, ajabu wanashabikia timu za yanga na simba ambazo zipo dar
9. wakija dar ujuaji mwingi, wakienda shopping wanapigwa sana bei
10.wakigombana na wake/madem zao hukimbilia kujinyonga.
11. wengi ndoto zao ni kufika dar
12. siku wanakuja dar, hawalali huo usiku huo wanapata usingizi wa mang'amng'am ili gar isiwaache
13. kuoga ni hiari
Ndio maana nakupenda..Wanaume wa dar wamewekwa mkononi na mademu zao hawapumui hata kidogo yani hawana kabisa uwanaume
Aah wapi