Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

5d1affa7f0a97361739916bfe0d15ffa.jpg
wanaume wa dar wanatumia dawa za kuongeza makalio
 
Hilo siyo swali mkuu, we ukimuona mtu anajisema yeye mwanaume kisa ananuka kama beberu jua ana govi limeona machweo, mawio, masika, kiangazi, mchana na usiku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asanteeee castr
 
Halafu namwambia huo mswaki bure anasema eti huku maisha magumu.

Nikaona nilichomwambia na majibu haviendani, nikakumbuka kuna machizi ya mikoani yamekamatwa wiki iliyopita nikajua chizi huyu katoroka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hurumia mbavu zangu jaman
 
Back
Top Bottom