Watani wa jadi watatoka salama wikiendi hii?

Watani wa jadi watatoka salama wikiendi hii?

mcshonde

Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
66
Reaction score
154
Simba anakutana na Raja huku Yanga atachuana na Mamba wa DRC Tout Puissant Mazembe. Unafikiri kati ya wekundu wa msimbazi na wananchi wapi wana uhakika wa ushindi?
 
Yanga ushindi lazima, maana tunao uwezo huo wa kushinda. Huku watani Simba wakijiandaa kuangukia pua au kidevu kwa vile hawana team bali wana wauza yebo yebo tu pale Msimbazi.
 
Kwa Simba hatuna Shaka Ila kwa vyura,utopolo,manyani,magendaeka na ma mbwa taifa linaenda kupata aibu.
Nb sijawatukana ni majina wanayojiita wenyewe..
 
Back
Top Bottom