Watani wangeruhusiwa katika Msiba wa Marehemu Mafuru ungenoga, lakini Msiba unaoendeshwa 'Kiprotokali' muda wote hadi Unaboa sasa

Niliwahi kushuhudia ngumi msibani kule kalema...

Kuna utani wa ngumi sana kule,

Mtu umefiwa na mtoto anajitokeza mtani eti anaanza kulia mbele yako huku akisema "huyu mtoto amekukosea nini hadi umtoe kafara"
Wallah hapo nitamchapa mtu ngumi kumpasua midomo yake......asiweze ongea tena.
 
Niliwahi kushuhudia ngumi msibani kule kalema...

Kuna utani wa ngumi sana kule,

Mtu umefiwa na mtoto anajitokeza mtani eti anaanza kulia mbele yako huku akisema "huyu mtoto amekukosea nini hadi umtoe kafara"
Hahahaha! Hapo lazima nami nikutwange ngumi ya jicho.
 
Niliwahi kushuhudia ngumi msibani kule kalema...

Kuna utani wa ngumi sana kule,

Mtu umefiwa na mtoto anajitokeza mtani eti anaanza kulia mbele yako huku akisema "huyu mtoto amekukosea nini hadi umtoe kafara"
Daa! Huu sasa ni utani wa hovyo
 
Back
Top Bottom