Watani zangu 'Wakubwa' Kabila la 'Wahaya' mpo tayari na mmeshajiandaa 'Kisaikolojia' Kuchukiwa na Mkemia?

Mshuti maana yake nini wadau
 
Kitu kimoja ambacho nina uhakika atabadilika kutokana na uchaguzi huu ni kwamba ataachana na zile ndoto zake za alinacha za kuua upinzani na hivyo hii itasaidia kuwekeza hela zetu katika mambo yenye tija badala ya kuahangaika na ununuzi wa wabunge na madiwani na chaguzi ndogo kila kukicha. Hizo pesa zinaweza kusaidia kuboresha mazingira ya kusomea ya watoto wa 'wanyonge' au kupatikana kwa maji safi (kama kule jimbo la Mtama ambako wanaokoteza maji maporini).
 
Omushuti ndio Nini
 
Umeanza kutetea mafisadi
 
Mkemia akipata nafasi nyingine maji tutaita mma!Ile ya kuishi kama mashetani itakua cha mtoto!
 
Mkuu hapa ni Geita wamevunja Rekodi pia ,na kumbuka huu mkoa ndo anaotoka Jiwe.

Kiufupi Jiwe atachukia nchi nzima baada ya October atakapokua nyumbani anaugulia maumivu.
Your browser is not able to display this video.
 
Kwa wahaya magufuli pamoja na uraisi wake wanamwita "MSHUTI"
Wahaya dharau Ni asili


Tunamdharau yeye na katibu makuu wake kwani tunajua asili yao!! Kama kuisoma namba ya huyu MSHUTI tumeishaisoma, hatuwezi kuisoma mara mbili; iliyobaki ni kumuadhibu kwenye sanduku la kura!!!
 
Your browser is not able to display this video.

Muache aisome number The Genius Mkemia mwenye roho mbaya,mbabe,mzee wa vitisho,mvuruga uchumi wa wananchi ,mzee wa visasi.

Wakwe zangu hawapendagi zarau kwa sababu wao wenyewe ni wajivuni.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…