Watani zangu 'Wakubwa' Kabila la 'Wahaya' mpo tayari na mmeshajiandaa 'Kisaikolojia' Kuchukiwa na Mkemia?

Watani zangu 'Wakubwa' Kabila la 'Wahaya' mpo tayari na mmeshajiandaa 'Kisaikolojia' Kuchukiwa na Mkemia?

Magufuli na Wahaya wanafahamiana vizuri sana. Amefanikiwa sana kuwazuga Wasukuma na wanamwona ni Msukuma lakini Wahaya wamekataa kata kata kwao omushuti ataendelea kuwa omushuti tu hata akijiita muzirankende. Hata Burundi wazirankende wapo!! N ahilo analifahamu.
Mshuti maana yake nini wadau
 
Waliobuni mfumo wa demokrasia waliona mbali kwa checks and balance. Mzee baba hata akirejea atabadilika sana either kuwa moderate ama kufanya maamuzi magumu kuwa katili zaidi. Alijikuza na wapambe ccm kumtukuza mno akajaa upepo kwamba yeye ni nabii fulani, yanayotokea kwa Lissu kwake ni tumbo la kuhara.
Kitu kimoja ambacho nina uhakika atabadilika kutokana na uchaguzi huu ni kwamba ataachana na zile ndoto zake za alinacha za kuua upinzani na hivyo hii itasaidia kuwekeza hela zetu katika mambo yenye tija badala ya kuahangaika na ununuzi wa wabunge na madiwani na chaguzi ndogo kila kukicha. Hizo pesa zinaweza kusaidia kuboresha mazingira ya kusomea ya watoto wa 'wanyonge' au kupatikana kwa maji safi (kama kule jimbo la Mtama ambako wanaokoteza maji maporini).
 
Magufuli na Wahaya wanafahamiana vizuri sana. Amefanikiwa sana kuwazuga Wasukuma na wanamwona ni Msukuma lakini Wahaya wamekataa kata kata kwao omushuti ataendelea kuwa omushuti tu hata akijiita muzirankende. Hata Burundi wazirankende wapo!! N ahilo analifahamu.
Omushuti ndio Nini
 
Yapo mengi yanayowatia hasira wahaya


Kahawa kulazimishwa kuiuza serikalini Kwa bei ndogo wakati kilo ikiwa 4000 serikali inanunua 1000

Pamoja na kuwa na kiwanda kikubwa cha sukari na kulima miwa huko misenyi lakin bado bei ya sukari iko juu kuliko mikoa mingine ambayo haina.

Matusi na kejeli wakati wa tetemeko wahaya by nature hawapendi dharau

Kutelekezwa kabisa mkoa wa kagera kimiundombinu hasa mji wa Bukoba. Manispaa hii haina hata mradi wowote wa UGLSP siju word bank na mbaya zaidi pesa za ujenzi wa miradi hazitolewi kisa bukoba ni chadema.


Utesajwi na udharirishaji na wahaya wakubwa Tu mfano mufuruki,kabendera, Rugemalila , mwijage,nk wahaya wote ni ndugu hata kama hawajuani.


Hiv ndo vinafanya mkoa huu kuwa hiv na miaka ya mbeleni wasipoangalia utajitenga kutoka tz
Umeanza kutetea mafisadi
 
Mkemia akipata nafasi nyingine maji tutaita mma!Ile ya kuishi kama mashetani itakua cha mtoto!
 
Mkuu hapa ni Geita wamevunja Rekodi pia ,na kumbuka huu mkoa ndo anaotoka Jiwe.

Kiufupi Jiwe atachukia nchi nzima baada ya October atakapokua nyumbani anaugulia maumivu.
 
Kwa wahaya magufuli pamoja na uraisi wake wanamwita "MSHUTI"
Wahaya dharau Ni asili


Tunamdharau yeye na katibu makuu wake kwani tunajua asili yao!! Kama kuisoma namba ya huyu MSHUTI tumeishaisoma, hatuwezi kuisoma mara mbili; iliyobaki ni kumuadhibu kwenye sanduku la kura!!!
 
IMG-20200923-WA0044.jpg
 

Muache aisome number The Genius Mkemia mwenye roho mbaya,mbabe,mzee wa vitisho,mvuruga uchumi wa wananchi ,mzee wa visasi.

Wakwe zangu hawapendagi zarau kwa sababu wao wenyewe ni wajivuni.
IMG-20200923-WA0004.jpg

 
Back
Top Bottom