John Fedha
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 624
- 717
Huko Mara penyewe alivuruga alienda akaanza kuwafokea ,
Sasa jamaa wana hasira naye kweli .
Sasa jamaa wana hasira naye kweli .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshuti maana yake nini wadauMagufuli na Wahaya wanafahamiana vizuri sana. Amefanikiwa sana kuwazuga Wasukuma na wanamwona ni Msukuma lakini Wahaya wamekataa kata kata kwao omushuti ataendelea kuwa omushuti tu hata akijiita muzirankende. Hata Burundi wazirankende wapo!! N ahilo analifahamu.
Kabisa ndugu. Huyu siyo kumpa second half atauwa watu Sana.
Kitu kimoja ambacho nina uhakika atabadilika kutokana na uchaguzi huu ni kwamba ataachana na zile ndoto zake za alinacha za kuua upinzani na hivyo hii itasaidia kuwekeza hela zetu katika mambo yenye tija badala ya kuahangaika na ununuzi wa wabunge na madiwani na chaguzi ndogo kila kukicha. Hizo pesa zinaweza kusaidia kuboresha mazingira ya kusomea ya watoto wa 'wanyonge' au kupatikana kwa maji safi (kama kule jimbo la Mtama ambako wanaokoteza maji maporini).Waliobuni mfumo wa demokrasia waliona mbali kwa checks and balance. Mzee baba hata akirejea atabadilika sana either kuwa moderate ama kufanya maamuzi magumu kuwa katili zaidi. Alijikuza na wapambe ccm kumtukuza mno akajaa upepo kwamba yeye ni nabii fulani, yanayotokea kwa Lissu kwake ni tumbo la kuhara.
Omushuti ndio NiniMagufuli na Wahaya wanafahamiana vizuri sana. Amefanikiwa sana kuwazuga Wasukuma na wanamwona ni Msukuma lakini Wahaya wamekataa kata kata kwao omushuti ataendelea kuwa omushuti tu hata akijiita muzirankende. Hata Burundi wazirankende wapo!! N ahilo analifahamu.
Umeanza kutetea mafisadiYapo mengi yanayowatia hasira wahaya
Kahawa kulazimishwa kuiuza serikalini Kwa bei ndogo wakati kilo ikiwa 4000 serikali inanunua 1000
Pamoja na kuwa na kiwanda kikubwa cha sukari na kulima miwa huko misenyi lakin bado bei ya sukari iko juu kuliko mikoa mingine ambayo haina.
Matusi na kejeli wakati wa tetemeko wahaya by nature hawapendi dharau
Kutelekezwa kabisa mkoa wa kagera kimiundombinu hasa mji wa Bukoba. Manispaa hii haina hata mradi wowote wa UGLSP siju word bank na mbaya zaidi pesa za ujenzi wa miradi hazitolewi kisa bukoba ni chadema.
Utesajwi na udharirishaji na wahaya wakubwa Tu mfano mufuruki,kabendera, Rugemalila , mwijage,nk wahaya wote ni ndugu hata kama hawajuani.
Hiv ndo vinafanya mkoa huu kuwa hiv na miaka ya mbeleni wasipoangalia utajitenga kutoka tz
Kwa wahaya magufuli pamoja na uraisi wake wanamwita "MSHUTI"
Wahaya dharau Ni asili
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa taarifa yako the Genius Mkemia ni Raisi Mstaafu wa Tanzania kuanzia November 2020;
Maana yake nini?Kwa wahaya magufuli pamoja na uraisi wake wanamwita "MSHUTI"
Wahaya dharau Ni asili
Muache aisome number The Genius Mkemia mwenye roho mbaya,mbabe,mzee wa vitisho,mvuruga uchumi wa wananchi ,mzee wa visasi.
Wakwe zangu hawapendagi zarau kwa sababu wao wenyewe ni wajivuni.
Eeeh!!?...
Wakwe zangu hawapendagi zarau kwa sababu wao wenyewe ni Wajivuni.