Hahaa sasa kwa hizo rounds za misosi si ntapata kiribatumbo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Twende ukale dota maana nimechoka kusimangwa mtoto hali.
Hadi kieleweke.Hahaa sasa kwa hizo rounds za misosi si ntapata kiribatumbo?
Ndugu mgeni nadhani mimi sijakuelewa, hapo ujuaji wetu uko wapi!? Siku nyingine kabla ya kuanza kubwata ni vyema ukauliza kwanza utaratibu wa sehemu husika ukajibiwa. Acha ujuaji. Sisi fahari yetu ni Ukarimu
Mpila ndio nini!?Haya bwana wageni mnawacheza kama mpila
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ahsante kwa niaba ya mama
Acha bana, wewe sio wa kule kwa chai andazi kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unanikaribisha kwetu[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha bana, wewe sio wa kule kwa chai andazi kweli?
Huku wanakotoka wanaCHADEMA wengi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio wapi huko?
Huko ni kwenu sio kwetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huku wanakotoka wanaCHADEMA wengi!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umeanza kunibagua!Huko ni kwenu sio kwetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeanza kunibagua!
Huko Kanda ya Ziwa Ubweche wanaita Chakula cha ndege.Hatuamini kama ‘ubweche’ ni chakula cha kushiba bali ni ladha tu, so huwa ni muhimu kuanza na ugali kama stata kisha ubweche hasa siku za ugeni au tukio..... halafu usiseme ni uharibifu kwa maana hakuna namna yoyote ile kuwa ubweche unatupwa.
E nindo yako ili gete mbii!Mwanaume ni kula.Mbwembwe peleka "Mlogolo"!Mkuu mi wasukuma nawapa bigup yaani nilishinda kama mpila nachezwa huko huku mara danadana