Watani zangu wasukuma hebu punguzeni matumizi ya vyakula, mnaharibu

Ndugu mgeni nadhani mimi sijakuelewa, hapo ujuaji wetu uko wapi!? Siku nyingine kabla ya kuanza kubwata ni vyema ukauliza kwanza utaratibu wa sehemu husika ukajibiwa. Acha ujuaji. Sisi fahari yetu ni Ukarimu
 
Haya bwana wageni mnawacheza kama mpila
Ndugu mgeni nadhani mimi sijakuelewa, hapo ujuaji wetu uko wapi!? Siku nyingine kabla ya kuanza kubwata ni vyema ukauliza kwanza utaratibu wa sehemu husika ukajibiwa. Acha ujuaji. Sisi fahari yetu ni Ukarimu
 
Huko Kanda ya Ziwa Ubweche wanaita Chakula cha ndege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…