Bodhichitta
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 315
- 762
Aslaam,
Wakuu,
nimewaza hapa juu ya haya mawazo ya WATANIONAJE, WATANIFIKIRIAJE na WATANICHUKULIAJE namna yanavyotufelisha wengi katika kufanya maamuzi.
Miongoni mwa mawazo yanayobomoa VIJANA wengi na kukosa uthubutu wakufanya jambo ni haya.
Mi nimmoja wapo Ambae muathirika wa haya mawazo, yaani nikifikiria kufanya jambo haya mawazo matatu lazima yaje na kuniharibia tu.
Mfano nawaza kufanya biashara flani basi hayo mawazo yanakuja watu WATANIONAJE nikifanya hii biashara, WATANIFIKIRIAJE na WATANICHUKULIAJE wakiniona nafanya hii biashara basi najikuta naacha kuwaza juu hiyo biashara.
Hata wakati mwingine nashindwa kuongea mbele za watu, kutoa mawazo yangu Kwa kuwaza je nikikosea WATANICHUKULIAJE, WATANIONAJE au WATANIFIKIRIAJE basi naishia kukaa kimya tu.
Sasa nimeamua kutangaza vita na haya mawazo,
maisha mafupi saana na naamini duniani ndo uwanja pekee tuliopewa wakufanya na kuonyesha juu Yale tunayoweza kuganyab pekee.
Hakuna sehem nyingine yakuyafany haya,
lakini pia macho na mawazo yoyoye ya watu hayana msaada kwenye maisha yangu.
Hakika haya mawazo ndo adui yangu namba Moja kumbe.
Kuanzia Leo sina muda na WATANICHUKULIAJE, WATANIFIKIRIAJE au WATANIFIKIRIAJE potolea mbali.