HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Actualy hilo halito wezekana. English ambayo imetoka UK, Ukienda US ni tofauti, canada, ireland, wana version zao but ni english hiyo hiyoHabarini wadau,
Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.
Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.
Mfano:-
"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.
Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa kuwadhibiti.
Nawasilisha!!
Language is dynamic because it is constantly changing and evolving. New words are created, old words fall out of use, and the meanings of words can change over time. This is due to a variety of factors, such as cultural change, technological innovation, and contact with other languages.Habarini wadau,
Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.
Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.
Mfano:-
"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.
Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa
Uko sahihi kabisa, ushahidi mwingine huu hapa 👇 japo najua kuna watu watamtetea kuwa yuko sahihi"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.
Habarini wadau,
Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.
Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.
Mfano:-
"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.
Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa kuwadhibiti.
Nawasilisha!!
Mmeanzanga, kutusemanga ni lugha gani?Wa Tz mmeazanga kutusemanga sisi wa K eii mbona hatunanga mambo hizo
Swahili kwetu ipo vyede😀
Huwa sipendi kusikiliza kiswahili wanachodai wanakizungumza kinaumiza masikio kinakeraHabarini wadau,
Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.
Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.
Mfano:-
"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.
Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa kuwadhibiti.
Nawasilisha!!
Habarini wadau,
Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.
Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.
Mfano:-
"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.
Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa kuwadhibiti.
Nawasilisha!!
Hapo penye kukera ndiyo huwa inaharbu Kiswahili,najua kila lugha inazalisha lugha nyingine ndani yake lakini ni kwenye rafudhi,uandishi na matamshi siyo kwenye matumizi na maana ya maneno,huo ni ujingaHuwa sipendi kusikiliza kiswahili wanachodai wanakizungumza kinaumiza masikio kinakera