Watanzainia tuilinde lugha yetu ya Kiswahili, Wakenya wanaiharibu sana!

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Habarini wadau,

Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.

Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.

Mfano:-

"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.

Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa kuwadhibiti.

Nawasilisha!!
 
Actualy hilo halito wezekana. English ambayo imetoka UK, Ukienda US ni tofauti, canada, ireland, wana version zao but ni english hiyo hiyo

So kiswahili nacho kitapitia hizo phase, halikwepeki
 
Nadhani ni lahaja hiyo, sina uhakika

Naona ni dalili nzuri ya kwamba lugha inakua, inasambaa haraka

Lugha ikitumika na wengi kunakuwa na tofauti za kimatamshi, kunakuwa na variety
 
Habarini wadau,

Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.

Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.

Mfano:-

"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.

Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa
Language is dynamic because it is constantly changing and evolving. New words are created, old words fall out of use, and the meanings of words can change over time. This is due to a variety of factors, such as cultural change, technological innovation, and contact with other languages.

Language is also dynamic in the sense that it is used in many different ways. It can be used to express thoughts and feelings, to communicate information, to persuade others, and to create art. The way that language is used can vary depending on the context, the speaker, and the listener.

The dynamic nature of language is one of the things that makes it such a powerful tool. It allows us to adapt to new situations and to express ourselves in new and creative ways.
 
Kenya wanajitahidi Kiswahili mnaelewana ila waganda mnapoteana
 
"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.
Uko sahihi kabisa, ushahidi mwingine huu hapa 👇 japo najua kuna watu watamtetea kuwa yuko sahihi
 
Habarini wadau,

Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.

Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.

Mfano:-

"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.

Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa kuwadhibiti.

Nawasilisha!!

Kwanini isiwe wanaharibu yao? Lugha yako inaharibiwa vipi na usiyekuwa wewe? Kulikoni asiye wewe kumtaka awe wewe?
 
In kenya's voice

Haki unatoonea ndugu
Ndugu yaonesha una pesa mingi
Haki ndugu nitakupea pesa za kwako
 
Habarini wadau,

Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.

Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.

Mfano:-

"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.

Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa kuwadhibiti.

Nawasilisha!!
Huwa sipendi kusikiliza kiswahili wanachodai wanakizungumza kinaumiza masikio kinakera
 
Umenikumbusha kuna mkenya alikuwa ananiambia "vip uko sawa yaani nimekukosa sana .. akimaanisha amenimiss sana .

Akitaka nimsalimie mtu anayemfaham utasikia anasema "Vip dada yuko poa mwambie nimemkosa sana"

Hata wale kina mzee ojwanga na kipindi chao walikuwa wanalitumia
Sana hili Neno.
 
Huwa sipendi kusikiliza kiswahili wanachodai wanakizungumza kinaumiza masikio kinakera
Hapo penye kukera ndiyo huwa inaharbu Kiswahili,najua kila lugha inazalisha lugha nyingine ndani yake lakini ni kwenye rafudhi,uandishi na matamshi siyo kwenye matumizi na maana ya maneno,huo ni ujinga
 
Back
Top Bottom