HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,108
- 1,132
Habarini wadau,
Hakuna ubishi kuwa Tanzania ndiko asili ya Lugha ya Kiswahili sanifu na fasaha na siyo Kenya.
Wakenya wamekuwa ta tabia ya kuzungumza Kiswahili kwa kukitafasiri moja kwa moja kutoka kiingereza na kukifanya kisiwe na mvuto na kuleta maana tofauti.
Mfano:-
"But nyinyi wasani mko na maringo sana hamtaki salamu tukipatana mtaani"
Katika sentensi hii neno "mko na maringo" lilifaa kuwa "mna maringo" na neno "tukipatana mtaani" lilifaa kuwa "tukikutana mtaani" kwani maneno"mko" na "tukipatana" hayapaswi kutumika hapo kumaanisha alichotaka kusema.
Huu ujinga wa wakenya utatuharibia kiswahili tusipoanzisha mkakati wa kuwadhibiti.
Nawasilisha!!