Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo marope ni mnafiki tu sema anataka tu kuhalarisha uuzaji wa Taifa gas, bila shaka ana 10% kutoka kwa rost tamu, huku anahangaika kuuza na kusambaza Taifa gas utadhani mwajiriwa wa Taifa gas, na sijui hii tenda ya kugawa gesi hawa Taifa gas walishindanishwa na nani badala ya kuhangaika na mgao wa umeme leo ndio anajifanya kuja na takwimu za kupikwa, je huu utafiti umefanywa lini na kampuni gani ilifanya huo utafiti ?atupe na sample/PSU cha utafiti huo, tatizo waandishi wetu ni vihiyo sijui sababu ya bahasha za khaki hawaulizi maswali msingi kazi yao ni kupokea na kupaste! Siku hizi tunatatizo la mgao wa umeme ambao enzi za Kalemani haukuwepo, marope na timu yake walianza kwa kusingizia utawala wa awamu iliyopita, sasa safari hii hawana hata cha kusingizia yeye na aliyekuwa muuza ving'amuzi. Kuuza ving'amuzi na umeme ambao ni uhai wa nchi kiuchumi na kimaendeleo ni tofauti kabisa na kuuza ving'amuzi, kibaya zaidi marope kawaleta wahuni wenzake kwenye bodi kiasi kwamba hata maamuzi magumu hayawezi kufikiwa na bodi .Kama ni kweli basi ni Takwimu za kutisha sana na Serikali miaka yote hii imekaa nazo mpaka makamba kaja zigundua hapa karibuni?
View attachment 2388880
TAKWIMU HIZI NI ZA KUTISHA. SI SUALA DOGO KABISA. HILI NI SUALA AMBALO TAIFA LENYE AKILI LITAHITAJI UFAFANUZI WA HARAKA NA KUANGALIA NAMNA YA KUOKOA WATU WAKE.Hizi namba zinashangaza sana. 33,000 kwa mwaka ni kama 100 kwa siku! Hiyo ni namba kubwa sana, aifafanue
Hizi namba zinashangaza sana. 33,000 kwa mwaka ni kama 100 kwa siku! Hiyo ni namba kubwa sana, aifafanue
Kama ni kweli basi ni Takwimu za kutisha sana na Serikali miaka yote hii imekaa nazo mpaka makamba kaja zigundua hapa karibuni?
View attachment 2388880
Tatizo la kutengeneza tafrani hivi tangu enzi za ujima mpaka leo kama ndivyo si wote tungeshakuwa marehemu? Tuache tabia za kupeleka siasa kwenye taaluma, tutawakosesha wananchi TRUST na siku nyingine jambo la hatari likisemwa wataona kama haya masihara tuliyoanza kuyafanya nyakati kama hizi...TAKWIMU HIZI NI ZA KUTISHA. SI SUALA DOGO KABISA. HILI NI SUALA AMBALO TAIFA LENYE AKILI LITAHITAJI UFAFANUZI WA HARAKA NA KUANGALIA NAMNA YA KUOKOA WATU WAKE.
Acha madharau basiUkisikia Mtu anaitwa Dokta Tanzania uliza anatibia hospitali gani. Kama hafanyi kazi hospitali Huyo ni Kanjanja achana naye.
Wizara ya Afya.Kama ni kweli basi ni Takwimu za kutisha sana na Serikali miaka yote hii imekaa nazo mpaka makamba kaja zigundua hapa karibuni?
View attachment 2388880
Hujamjua January. January anaitambua nguvu ya Rostam katika siasa za tanzania. Kuanzia uwekezaji, kutoa fungu na kutengeneza timu za ushindi.Huyo marope ni mnafiki tu sema anataka tu kuhalarisha uuzaji wa Taifa gas, bila shaka ana 10% kutoka kwa rost tamu, huku anahangaika kuuza na kusambaza Taifa gas utadhani mwajiriwa wa Taifa gas, na sijui hii tenda ya kugawa gesi hawa Taifa gas walishindanishwa na nani badala ya kuhangaika na mgao wa umeme leo ndio anajifanya kuja na takwimu za kupikwa, je huu utafiti umefanywa lini na kampuni gani ilifanya huo utafiti ?atupe na sample/PSU cha utafiti huo, tatizo waandishi wetu ni vihiyo sijui sababu ya bahasha za khaki hawaulizi maswali msingi kazi yao ni kupokea na kupaste! Siku hizi tunatatizo la mgao wa umeme ambao enzi za Kalemani haukuwepo, marope na timu yake walianza kwa kusingizia utawala wa awamu iliyopita, sasa safari hii hawana hata cha kusingizia yeye na aliyekuwa muuza ving'amuzi. Kuuza ving'amuzi na umeme ambao ni uhai wa nchi kiuchumi na kimaendeleo ni tofauti kabisa na kuuza ving'amuzi, kibaya zaidi marope kawaleta wahuni wenzake kwenye bodi kiasi kwamba hata maamuzi magumu hayawezi kufikiwa na bodi .
Kawa mfanyakazi wa Taifa gas na sio waziri wa nishati na ndio maana kuhalalisha hiyo gesi ya bosi wake kaja na takwimu za kukaanga hapo ndio namkumbuka mwendazake!Na wanaozaliwa ni wangapi ?Badala kushughulikia umeme. Naona kaamua kubeba agenda rahisi. Kuna kitu hapa di bure. Wananchi maskini watalazimishwa kununua nishati ya mfanyabiashara nani sijui.