Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
PASTOR HUYO HUYO HAPA ANAWANYWISHA WAFUASI WAKE KUNYWA PETROLI BAADA YA WATU KUWALISHA MAJANI KAZI KWELI..........[/SIZE]
Hivi huyu msela wa msalabani yuko wapi wakati washkaji zake wanalishwa MAJANI! na Sasa wananywesha mpaka petroli?
Weka na aya inayomtuma kufanya hivyo. Umeona picha ya msukule wa Muhammad akingonoka na maiti huku ikisindikizwa na story husika kuthibitisha kuwa ni fundisho la kiislam
Aya muulize Mumeo.
Mi nakupa LIVE tupu.
Hapa PADRI anawaambia kina mama wakija kanisani WASIVAE CHUPI wala SIDIRIA (Vipago) ili YESU APATE KUWAINGIA MWILINI.
Tazama mwenyewe km unabisha!
Umemzidi nguruwe kifikra kidogo Sana.waonea aibu imani yako.
Weka andiko kusisitiza fundisho husika zezeta wewe
wewe unamwamini nani?
Siamini chochote
https://www.jamiiforums.com/jamii-i...achawi-hawaamini-mungu-mtume-wala-jah-11.htmlSiamini chochote
Ndio maana ni Maskini. Wanacho jua wao ni kuroga wenzao tu.Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Hii ni kwamjibu Sensa ya 27 Agosti 1967 nchini Tanzania.
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Hii ni kwamjibu Sensa ya 27 Agosti 1967 nchini Tanzania.
1.Huwezi kufikiri zaidi ya kile unachokijua.
2.Ukweli ni ule unaouamini kuwa ni ukweli bila kujali ukweli wake.
3.Ukweli kwako si ukweli kwa mwingine na ukweli kwa mwingine si ukweli kwako.Hata kama ukweli kwako ni ukweli kwa mwingine bado hutegemea na ukweli wa mnachokijua.
4.Kumlazimisha mtu kuukubali ukweli wako ni sawa na kumlazimisha mtu kuukataa ukweli wake.
5.Jamii Forums si jukwaa la kupeana ukweli bali ni jukwaa la kubadilishana ukweli.
Not true. Unless you are limited like non theists.1.Huwezi kufikiri zaidi ya kile unachokijua.
Ukweli sio lazima unauamini. The veracity is conformity to impeccable facts. Hii haijalishi kuwa unamini au la, ni tofauti na "haki" ambayo inaweza hata kupatikana Mahakamani.2.Ukweli ni ule unaouamini kuwa ni ukweli bila kujali ukweli wake.
Again you are wrong. Wewe unazungumizia haki na sio ukweli.3.Ukweli kwako si ukweli kwa mwingine na ukweli kwa mwingine si ukweli kwako.Hata kama ukweli kwako ni ukweli kwa mwingine bado hutegemea na ukweli wa mnachokijua.
Once again, unasema kinyume. Ukweli huwa haulazimishwi, bali haki ndio inalazimishwa. Ukweli hata ukipingwa na Dunia nzima, haubailiki kuto kuwa ukweli.4.Kumlazimisha mtu kuukubali ukweli wako ni sawa na kumlazimisha mtu kuukataa ukweli wake.
UKWELI NI YESU PEKEE. Jesus said, I am the way truth and life.5.Jamii Forums si jukwaa la kupeana ukweli bali ni jukwaa la kubadilishana ukweli.
Not true. Unless you are limited like non theists.
Ukweli sio lazima unauamini. The veracity is conformity to impeccable facts. Hii haijalishi kuwa unamini au la, ni tofauti na "haki" ambayo inaweza hata kupatikana Mahakamani.
Again you are wrong. Wewe unazungumizia haki na sio ukweli.
Once again, unasema kinyume. Ukweli huwa haulazimishwi, bali haki ndio inalazimishwa. Ukweli hata ukipingwa na Dunia nzima, haubailiki kuto kuwa ukweli.
UKWELI NI YESU PEKEE. Jesus said, I am the way truth and life.
Ni wachache sana wanasema ukweli hapa JF.
"deception" @work.
Huwezi fikiri zaidi ya kile unachokijua ? Ngumu kumeza.
Ukweli hautegemei nini MTU anaamini , ukweli hauathiriwi na imani ya awaye yote.
Ukweli hautegemei tofauti za mitazamo ya watu juu ya ukweli wenyewe , haijalishi unauonaje ukweli au mwenzio anaupnaje ukweli wenyewe unabaki kuwa ikweli huo huo. Ukweli ni Absolute na sio Relative.
Huwezi lazimisha MTU kukataa au kukubali ukweli, labda kumlszimisha MTU akubaliane na mtazamo wako juu ya kile ukionacho ndicho ukweli wenyewe.
Nani anamiliki ukweli hapa JF na ni ukweli kuhusu kitu gani ? Nani na nani wanabadilishana ukweli ?
Kubadilishana na kuelimishana kuhusu "world view" mbalimbali tulizonazo hakugeuki kuwa kubadilishana ukweli.
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Hii ni kwamjibu Sensa ya 27 Agosti 1967 nchini Tanzania.
Sensa ya mwaka 1967?,ndo unatuamia kujustify imani ya Watanzania leo baada ya miaka 48?
Ulisemwa mahali fulani kuwa wewe mtoa hoja ni mtaalam wa majungu ns kupindisha ukweli.Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Hii ni kwamjibu Sensa ya 27 Agosti 1967 nchini Tanzania.
kwaiyo ndo umeamua umseme Kiranga kivingne?Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Hii ni kwamjibu Sensa ya 27 Agosti 1967 nchini Tanzania.