Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah

PASTOR HUYO HUYO HAPA ANAWANYWISHA WAFUASI WAKE KUNYWA PETROLI BAADA YA WATU KUWALISHA MAJANI KAZI KWELI..........[/SIZE]

Hivi huyu msela wa msalabani yuko wapi wakati washkaji zake wanalishwa MAJANI! na Sasa wananywesha mpaka petroli?

Weka na aya inayomtuma kufanya hivyo. Umeona picha ya msukule wa Muhammad akingonoka na maiti huku ikisindikizwa na story husika kuthibitisha kuwa ni fundisho la kiislam
 
Last edited by a moderator:

Aya muulize Mumeo.
Mi nakupa LIVE tupu.

Hapa PADRI anawaambia kina mama wakija kanisani WASIVAE CHUPI wala SIDIRIA (Vipago) ili YESU APATE KUWAINGIA MWILINI.

Tazama mwenyewe km unabisha!

Umemzidi nguruwe kifikra kidogo Sana.waonea aibu imani yako.
Weka andiko kusisitiza fundisho husika zezeta wewe
 
We tukana tu! Mi nakuonyesha Mambo yanayotokea ktk hizo Ibada zenu ili upate kutafakari!

Huyu mchungaji mwingine andai Roho mtakatifu aliingia kwenye dushelele lake ikabidi atafune mwana kondoo ili amridhishe roho mtakatifu!

Pastor Claims ‘Holy Spirit’ Came Through His Penis[/h]

</header>

A brazilian man claiming to be an evengelical pastor is said to have claimed that the ‘Holy Spirit’ came through his penis. Valdeci Sobrino Picanto claimed that his penis contained holy milk which he needed to secrete. SMH.

This one has to be one of the most shocking yet…an Evangelical Pastor managed to abuse victims after convincing them that his penis contains HOLY MILK.
The criminal: Valdeci Sobreni Picano of Brazil.

Valdeci Sobrino Picanto is a Brazilian Evangelical Pastor. He has been arrested after deceiving the faithful using the name of the “Holy Spirit”, by using these foolish lies. This criminal pastor claimed that the Holy Spirit would secrete from his penis in the form of “sacred milk”. This pastor said that his penis was blessed and that “the Lord had consecrated him with divine milk of the Holy Spirit” and, of course, he had to release it in order to “evangelize”.
- VaticanCrimes.us.

for more on this story, click HERE
 
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)

Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.

Hii ni kwamjibu Sensa ya 27 Agosti 1967 nchini Tanzania.

Kwa maana halisi ya uchawi ni ngumu kupata idadi yao nchini kwa sababu uwezekano ni mkubwa kuwa katika kila hizo dini baadhi yao ni wachawi. Halafu hivi toka mwaka 1967 mpaka leo takwimu hazibadiliki?! Watu hawajabadili dini, na wanaozaliwa kuingia kwenye dini nyingine kwa wingi?!
 
1.Huwezi kufikiri zaidi ya kile unachokijua.
2.Ukweli ni ule unaouamini kuwa ni ukweli bila kujali ukweli wake.
3.Ukweli kwako si ukweli kwa mwingine na ukweli kwa mwingine si ukweli kwako.Hata kama ukweli kwako ni ukweli kwa mwingine bado hutegemea na ukweli wa mnachokijua.
4.Kumlazimisha mtu kuukubali ukweli wako ni sawa na kumlazimisha mtu kuukataa ukweli wake.
5.Jamii Forums si jukwaa la kupeana ukweli bali ni jukwaa la kubadilishana ukweli.
 
"deception" @work.
Huwezi fikiri zaidi ya kile unachokijua ? Ngumu kumeza.

Ukweli hautegemei nini MTU anaamini , ukweli hauathiriwi na imani ya awaye yote.

Ukweli hautegemei tofauti za mitazamo ya watu juu ya ukweli wenyewe , haijalishi unauonaje ukweli au mwenzio anaupnaje ukweli wenyewe unabaki kuwa ikweli huo huo. Ukweli ni Absolute na sio Relative.
Huwezi lazimisha MTU kukataa au kukubali ukweli, labda kumlszimisha MTU akubaliane na mtazamo wako juu ya kile ukionacho ndicho ukweli wenyewe.

Nani anamiliki ukweli hapa JF na ni ukweli kuhusu kitu gani ? Nani na nani wanabadilishana ukweli ?
Kubadilishana na kuelimishana kuhusu "world view" mbalimbali tulizonazo hakugeuki kuwa kubadilishana ukweli.
 
well said mkuu. alafu wanatupandikiza sumu ya kuuwana. hasa waarabu wanaweza wakamchinja mtu huku wakimwomba Mungu wao
 
1.Huwezi kufikiri zaidi ya kile unachokijua.
Not true. Unless you are limited like non theists.

2.Ukweli ni ule unaouamini kuwa ni ukweli bila kujali ukweli wake.
Ukweli sio lazima unauamini. The veracity is conformity to impeccable facts. Hii haijalishi kuwa unamini au la, ni tofauti na "haki" ambayo inaweza hata kupatikana Mahakamani.

3.Ukweli kwako si ukweli kwa mwingine na ukweli kwa mwingine si ukweli kwako.Hata kama ukweli kwako ni ukweli kwa mwingine bado hutegemea na ukweli wa mnachokijua.
Again you are wrong. Wewe unazungumizia haki na sio ukweli.

4.Kumlazimisha mtu kuukubali ukweli wako ni sawa na kumlazimisha mtu kuukataa ukweli wake.
Once again, unasema kinyume. Ukweli huwa haulazimishwi, bali haki ndio inalazimishwa. Ukweli hata ukipingwa na Dunia nzima, haubailiki kuto kuwa ukweli.

5.Jamii Forums si jukwaa la kupeana ukweli bali ni jukwaa la kubadilishana ukweli.
UKWELI NI YESU PEKEE. Jesus said, I am the way truth and life.

Ni wachache sana wanasema ukweli hapa JF.
 
Not true. Unless you are limited like non theists.

Ukweli sio lazima unauamini. The veracity is conformity to impeccable facts. Hii haijalishi kuwa unamini au la, ni tofauti na "haki" ambayo inaweza hata kupatikana Mahakamani.

Again you are wrong. Wewe unazungumizia haki na sio ukweli.

Once again, unasema kinyume. Ukweli huwa haulazimishwi, bali haki ndio inalazimishwa. Ukweli hata ukipingwa na Dunia nzima, haubailiki kuto kuwa ukweli.

UKWELI NI YESU PEKEE. Jesus said, I am the way truth and life.

Ni wachache sana wanasema ukweli hapa JF.

Umenisaidia kuthibitisha ninachokisema.
 
"deception" @work.
Huwezi fikiri zaidi ya kile unachokijua ? Ngumu kumeza.

Ukweli hautegemei nini MTU anaamini , ukweli hauathiriwi na imani ya awaye yote.

Ukweli hautegemei tofauti za mitazamo ya watu juu ya ukweli wenyewe , haijalishi unauonaje ukweli au mwenzio anaupnaje ukweli wenyewe unabaki kuwa ikweli huo huo. Ukweli ni Absolute na sio Relative.
Huwezi lazimisha MTU kukataa au kukubali ukweli, labda kumlszimisha MTU akubaliane na mtazamo wako juu ya kile ukionacho ndicho ukweli wenyewe.

Nani anamiliki ukweli hapa JF na ni ukweli kuhusu kitu gani ? Nani na nani wanabadilishana ukweli ?
Kubadilishana na kuelimishana kuhusu "world view" mbalimbali tulizonazo hakugeuki kuwa kubadilishana ukweli.

Una uhakika unachokisema ni kweli?
 
Sensa ya mwaka 1967?,ndo unatuamia kujustify imani ya Watanzania leo baada ya miaka 48?

Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)

Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.

Hii ni kwamjibu Sensa ya 27 Agosti 1967 nchini Tanzania.
 
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)

Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.

Hii ni kwamjibu Sensa ya 27 Agosti 1967 nchini Tanzania.
Ulisemwa mahali fulani kuwa wewe mtoa hoja ni mtaalam wa majungu ns kupindisha ukweli.
Kwa akili yako basi mila za mababu zetu ni uchawi?
Mtu mwenye kichwa sawasawa juu ya mabega yake hawezi kuema hivyo.
 
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)

Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.

Hii ni kwamjibu Sensa ya 27 Agosti 1967 nchini Tanzania.
kwaiyo ndo umeamua umseme Kiranga kivingne?
 
Back
Top Bottom