Miaka milioni 4 kama kujenge piramidi,kuyajusha iwe likawa dhahabu au chuma,kumwihifadhi binaadamu aliekufa asioze milele wakati wazungu na warabu bado wabara ngozi sio maendeleo basi maendeleo sijui nini.......
Firauni inasemekana alizaliwa Misri,Misri ilikuwa nchi ya wa weusi yaani nchi ya watu wenye asili ya Kiafrika Kabla warabu,wagiriki,warumi hawajaivalia Misri na kuuwa kila kitu chenye asili ya kiafrika,Koo za firauni zilitokea north sudani sio Dodoma ,Mafirauni hawakuwa watu weupe kama unavyosoma katika bible au vitabu vilivyoandkwa na wazungu
Maendeleo ni mfumo wa maisha yanayotosheleza watu kutoka na tamaduni na Mila zao,sio lazima uwe mkristo au mwislam ndio iwe umeendelea,Japan ni mfano mzuri,wajapani ni watu wanaofata Dini ya kibudha wajapani wanautamaduni wao tafauti na wazungu au warabu lakini wameendelea sana ukifananisha na watu wengine duniani
Kama kuzaaa na dada ako au kaka ako imekubaliwa na Mila za watu fulani na ikiwa Mila hizo hazilete Shaka katika tamaduni zao kuna ubaya gani kuzaa na dada ako au kaka ako..south Afrika mbali sana hapa hapa Tanzania mila hizo zipo