Mkuu huo unaozungumza wewe sio uchawi hiyo inaitwa zinaa,,,,,
wafrika kabla ya kuja wageni kama vile warabu wazungu na dini zao tulikuwa na dini zetu na zilikuwa zinafanya kazi uzuri tu,Walipokuja hawa wageni katika bara la Afrika na dini zao walishangaa walivyokuta Afrika imepiga hatua kimaendelo kuanzia Zimbabwe,Timbuktu,Misri.....
Warabu walivamia Misri walibadilisha historia na kumfanya Firauni mweupe wakati Firauni alikuwa Mnubi,,,Tunaona watu wanaabudu Mungu wa macho ya bluu wakati Yesu alikuwa mweusi ......
Hawa wageni wamefanya hivyo ili tuwaone wao bora wamejua kuwa dini ndio silaha ya kuwatawala watu,,,,Bora nikamwombe kinyamkera kuliko kwenda kuomba sanamu la yesu......Tafakari