Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah

Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah

Umezitoa wapi izo takwimu mkuu??Niliona kwenye Atlas muda kidogo kuhusu takwimu za nchi hii,Waislamu 48%,Wakristo48%,dini za jadi 1% na nyinginezo 1% kwa maana ya dini zingine duniani.

Atlas toleo la mwaka gani? hakuna takwimu sahihi kuwa
wakristo wako wangapi?
waislamu wako wangapi?
wapagani wako wangapi?
na dini zingine
CHA MSINGI HAPA NI KUHESABIANA.
 
Hata kati ya waislam na wakistu wengi wao ni majina tu ilahawaamini chochote zaidi ya pesa

Absolutely true, hizi dini mbona Ibilisi haziogopi!

Yesu Kristo mwenyewe aliuwawa na Maaskofu, Mashehewa na wafuasi wa dini wakati ule.

Hata leo watu wanauana na kuuwa wenzao kwa kigezo cha dini hizihizi.
 
Hii ni sensa iliyofanyika kwa mara ya mwisho mwaka 1967 baada ya ile ya mwaka 1957 kipindi cha ukoloni ikionyesha waislamu walikuwa asilimia 57% kama sijasahau. Miaka kumi mbele Nyerere akaja na takwimu hizo hapo juu zinazoonyesha watanzania zaidi ya millioni 36 wameacha uislamu wakaenda ukristoni na kwenye dini za jadi. Ambapo millioni kama nne wamehamia kwenye ukristo na waliobakia walienda kwenye upangani Ajabu kubwa ya mwl Nyerere. Duh!? Miaka iliyofuatia akufuta kipengele cha dini ili sasa kupitisha agenda zake za kuwadhulumu waislamu vizuri bila watu wengine kugundua. MUNGU AKULIPE UNACHOSTAHILI.

Wakiwa waislamu au wakristo wengi wewe inakusaidia nn
 
uchaguzi umekaribia ona jinsi vitoto vinavyochinjwa na unavyozidi kukaribia ndio maafa yatakavyozidi kutisha! be aware! watu wanatafuta madaraka ktk kwa kupitia nguvu za hells
 
Tatizo hapa watu wengine hawataki kuona ukweli. Nchi hii kuna watu wengi sana wasio waumini wa dini za mashariki ya kati. Wapo sehemu zote mjini na vijijini pia, ila wanamajina ya dini zote kubwa mbili. Sasa wale ambao ni wapumbavu hudhani mtu akiwa na jina la dini fulabni basi ni muumini wa hiyo dini.
Ni sawa na mtu ambaye anayejua kusoma na kuandika, leo akiambiwa kuwa 60% ya Watz hawajui kusoma na kuandika atabisha kama ana hulka ya ubishi
 
Ni mpuuzi tuu huamini anayeamin tifauti na dini koloni (ukristo na uisilamu) basi ni mpagani au mchawi kitu ambacho siyo kweli,hatuendelei kwa sababu ya kukataa asili yetu na kuamini aluchosema mzungu na mawakala wake
 
Ni mpuuzi tuu huamini anayeamini na kuabudu tofauti na dini koloni (ukristo na uisilamu) basi ni mpagani au mchawi kitu ambacho siyo kweli,hatuendelei kwa sababu ya kukataa asili yetu na kuamini alichosema mzungu na mawakala wake
 
Mkuu,bora kuwa mchawi kuliko kuabudi hizi dini za kuletewa na wazungu na warabu,wametuetea dini halafu wanatudharau

mkuu chabuso, Uchawi tunautumia vibaya sisi Waafrika kwa sababu hua tunapigana misumari sisi wenyewe ukiendelea kidogo tu unapigwa msumari, lakini kama tunakua tuunautumia vizuri ingekua poa sana
 
Last edited by a moderator:
Hawa MaCCM ndo wametuponza, wanaroga hadi kupata madaraka. Kaulize kwenye jimbo la Simbachawene halafu uambiwe sifa yake kubwa ni nini na usomi wote alionao.
Ova
 
Absolutely true, hizi dini mbona Ibilisi haziogopi!

Yesu Kristo mwenyewe aliuwawa na Maaskofu, Mashehewa na wafuasi wa dini wakati ule.

Hata leo watu wanauana na kuuwa wenzao kwa kigezo cha dini hizihizi.

Shetani haogopi dini hata siku moja ndo maana ht kwenye nyumba za ibada yumo.....yeye anaogopa Blood of Jesus
 
uchaguzi umekaribia ona jinsi vitoto vinavyochinjwa na unavyozidi kukaribia ndio maafa yatakavyozidi kutisha! be aware! watu wanatafuta madaraka ktk kwa kupitia nguvu za hells

Yes mkuu
Na lzm makada wa4 waondoke......ili chama kiendelea kushika hatamu..
Tuombe Mungu tu
 
Shetani haogopi dini hata siku moja ndo maana ht kwenye nyumba za ibada yumo.....yeye anaogopa Blood of Jesus
Bravooooooooooo Mtumishi. In fact, Satan do worship Allah.

Shaitan was the first to sworn the oath of allegiance from Abu Bakr in the mosque and Shaitan became a muslim. (Israr-e-Muhammad, Page No. 30)
 
Absolutely true, hizi dini mbona Ibilisi haziogopi!

Yesu Kristo mwenyewe aliuwawa na Maaskofu, Mashehewa na wafuasi wa dini wakati ule.

Hata leo watu wanauana na kuuwa wenzao kwa kigezo cha dini hizihizi.

Unakielewa unachokiandika au umeandika na wewe uonekane umeandika?
 
Mungu yupi unayemwongelea hapa? Hata wachawi wana mungu wao wanayemwamini.
 
Back
Top Bottom