Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
PASTOR HUYO HUYO HAPA ANAWANYWISHA WAFUASI WAKE KUNYWA PETROLI BAADA YA WATU KUWALISHA MAJANI KAZI KWELI..........[/SIZE]
Hivi huyu msela wa msalabani yuko wapi wakati washkaji zake wanalishwa MAJANI! na Sasa wananywesha mpaka petroli?
Weka na aya inayomtuma kufanya hivyo. Umeona picha ya msukule wa Muhammad akingonoka na maiti huku ikisindikizwa na story husika kuthibitisha kuwa ni fundisho la kiislam
Last edited by a moderator:
