Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

ukiukana kuupata ni kwikwi... sheria hairuhusu labda kama itafanyiwa marekebisho... hivyo ni bora usubiri dual ili uongeze uraia kuliko kuukana sasa ukitegemea kuurejesha pale kutakapo kuja kuwa na dual, maana ni ngumu labda kama sheria itazingatia kuwa rejeshea walio upoteza...
 
Wewe uraia wa Tanzania unakusaidia nini?
 
Mm naona haya mambo hayana issue hata ukiiukana ukitaka kurudi kuwa nyumbani unarudi na unaendelea na maisha yako. Kuna Jamaa yetu mmoja alikaa brazil miaka 30[emoji38][emoji23][emoji1787] Karudi juzijuzi tu anauraia wa Brazil na Passport ya Brazil hataki tena kurudi Brazil anaotesha tu vitu ardhini na ashapata passport ya hapa Tz bado Nida navenginevyo nasemaga hivi akitaka kuondoka siwatamdaka huyu.
 
Alirudi tanzania kwa pasport ya Tanzania au brazil port of entry? , je kwa kipindi hicho ilikuwa ni Electronic PASSPORT?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…