6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Labda kwa k ipindi cha miezi hiyo ni michache..Mbona wachache mnooo raia million 60 watu 38 tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa k ipindi cha miezi hiyo ni michache..Mbona wachache mnooo raia million 60 watu 38 tu
Haha ni kweli harafu ukienda wewe mzawa unaulizwa maswali na kuongeleshwa hadi kiĺugha chenu sasa kama umekulia town sijuwi inakuwajeMkuu nchi hii ina mambo, kuna foreigners kibao wanajulikana kuwa foreigners wana passport na Nida kabisa. Hapa pesa ndo kila kitu
Nipo hapa siutaki hata kuusikia 😅Wale ambao tumeshaukana Uraia wa Tanzania tukiwa ndani ya nchi tujuane tafadhali.
Tuukane sasa
Wewe uraia wa Tanzania unakusaidia nini?
👆
wameukataa umaskini
ukiukana kuupata ni kwikwi... sheria hairuhusu labda kama itafanyiwa marekebisho... hivyo ni bora usubiri dual ili uongeze uraia kuliko kuukana sasa ukitegemea kuurejesha pale kutakapo kuja kuwa na dual, maana ni ngumu labda kama sheria itazingatia kuwa rejeshea walio upoteza...
Acha Waende Tu Hakuna Namna
Kabisa za uongo walioukana ni wengi tu
HV mabala the farmer nae s aliukana uraia wa uingereza na mpk sas Ni Rai wa tz kwa mujibu wa ktib yetu
Kupata uraia wa Marekani hushurutishwi kuukana uraia wako mwingine.
Marekani inaruhusu dual citizenship.
Tena inapenda kuwa na watu tofauti wenye historia na uraia tofauti kujenga diversity.
Labda Watanzania ndio mnalazimisha watu wanaochukua uraia wa Marekani wawe wameukana uraia wa Tanzania bila kuukana.
India mbona wanaipenda sana Tanzania?
Wanaukana then wanapambania dual citizenship juu kwa juu huko