Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

Hivi tunaukania wapi maana mm nishachoka bora niukane hapa Tz niombe ukimbizi huko Norway au ujerumani
Omba nafasi za Kazi jeshi la Marekani ukale kuku ukraine au afghanistan fasta tu unapata kama umri unaruhusu under 24 kutumikia jeshi la Marekani ni heshima pia ni rahisi kupata maisha USA. Kuna binti wa jirani yetu yupo UK anatupia gwanda za jeshi la Uingereza akiwa anakula kwata lakini ni mbongo sijui kaingiaje
 
Ukitoa pesa


Kisheria inabidi wewe mwenyewe urudishe passport yako Tanzania na kuwaambia wewe ni Raia wa Marekani.

Sababu sheria za Tanzania zinasema hazikubali uraia pacha.
Passport yangu ya Tanzania ime expire na sina mpango wa kui renew.

Kwanza kabisa passport si uraia, passport ni hati ya kusafiria na passport ni rekodi yako binafsi, hata ukikana uraia inapigwa muhuri tu kwamba ni invalid unarudishiwa.

Nelson Mandela alipewa passport ya Tanzania kusafiria bila ya kuwa raia wa Tanzania.

Pili, makardinali wa Tanzania wana uraia wa Tanzania na Vatican City. Kwa hivyo hiyo habari kwamba Tanzania hairuhusu uraia pacha ni ubaguzi kwa watu fulani tu.

Uraia pacha huo alikuwa nao Kardinali Rugambwa na Kardinali Pengo.
 
Mm naona haya mambo hayana issue hata ukiiukana ukitaka kurudi kuwa nyumbani unarudi na unaendelea na maisha yako. Kuna Jamaa yetu mmoja alikaa brazil miaka 30[emoji38][emoji23][emoji1787] Karudi juzijuzi tu anauraia wa Brazil na Passport ya Brazil hataki tena kurudi Brazil anaotesha tu vitu ardhini na ashapata passport ya hapa Tz bado Nida navenginevyo nasemaga hivi akitaka kuondoka siwatamdaka huyu.

Hatuna mifumo zaidi ya maneno na kupambana na opposition parties
 
Hata mimi na Familia yangu (Tuko Watano) tutaukana hapo mbeleni.
Finland, Sweden au Uswisi zinatuhusu in few years to come.
 
Hao wamekwenda kula neema za dunia
Kasoro hao walio jiunga Kenya +Uganda bila shaka hao ni wafugaji
 
Wanaukana then wanapambania dual citizenship juu kwa juu huko. Wakati hapa kwetu bado tunapambania na sticker za nenda kwa usalama na traffic anakuandikia fine 30,000.
***Vitambulisho vya MIDA kupata nako ishu, tumebaki na namba tu
naunga hoja mkono.
 
Mmh kwa uingereza hao mbona wachache sana,nnaowajua binafsi wanazidi kumi,tena hapo sijawahesabu wale waliojiripua.
Kwani wanaopata uraia wa nchi zinazojitambua huwa wanapoteza muda wao kutoa taarifa uhamiaji?

Hawa waliojitambulisha ni wale wenye chuki na nchi, hivyo wanatoa taarifa kama mke anayedai talaka baada ya kuchoshwa na ndoa.

Hii nchi inabidi tuifikirie upya kwenye nyanja zote. A GREAT RESET IS NEEDED.
 
Dunia hii unaweza kuwa na passport hata kumi na ukaishi unavyotaka
Namjua mzee mmoja aliingia Tz na alipitia jirani akiwa na pasi 7 yes Saba

Alitoa ya kwanza walipomhoji lugha ikawa haipandi vizuri akaona isiwe shida akatoa ya taifa lake asilia

Wakabaki kushangaa alipotoa zote na kuwaambia wachague wanayotaka na wagonge visa ya entry

Dunia hii nimezunguka na passport tatu halali
Kama hamtokubali dual sisi tuna triple [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dunia hii unaweza kuwa na passport hata kumi na ukaishi unavyotaka
Namjua mzee mmoja aliingia Tz na alipitia jirani akiwa na pasi 7 yes Saba

Alitoa ya kwanza walipomhoji lugha ikawa haipandi vizuri akaona isiwe shida akatoa ya taifa lake asilia

Wakabaki kushangaa alipotoa zote na kuwaambia wachague wanayotaka na wagonge visa ya entry

Dunia hii nimezunguka na passport tatu halali
Kama hamtokubali dual sisi tuna triple [emoji23][emoji23][emoji23]
Aliwaonyesha hao uhamiaji kwamba mipaka ni mistari ya kwenye ramani tu, katika utafutaji halisi haipaswi kuwanyima watu fursa.
 
Pesa zangu zinapigwa rangi,zitakapo kauka nitajua cha kufanya
 
Back
Top Bottom