Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I'm from Lamu.Warundi siyo? Haa haa nimecheka
Bora uraia wa BurundiWewe uraia wa Tanzania unakusaidia nini?
Teh tehNa bado watahama wengi mno maana hapa hakuna kinachoeleweka
Tunawasindikiza tu walamba asali na familia zao.
Kila mara wanatutisha mara ooh nchi yetu ooh chama chetu.
Taratiibu watu wanajikataa namna hiyo.
Hata Uganda unaikana nchi yako??
Kwa passpprt za sasa hivi hakuna kitu kama hicho hiyo ilikua zamani sisi wenyewe wakurungwa tumerudisha na kuifuta ID ya SA kwenye mfumo wao ili tuwe tunatambulika na ya kitanzania pekee huu mfumo wa E electronics ukiweka dole gumba tuu inasema una mikwaju mingapi hata kama umeacha nyumbani...Hata Arusha, wengi Sana Wana passport za Kenya na tz
Atakuwa muhindi karudi kwaoBora huyo, huyo WA India sasa!!!!
Ina leak wapi bhana mimi nishawahi tumia Passport ya Malawi kwenda nayo Angola na kurudi SA wakati huo huo nina passport ya Tanzania na SA zipo nyumbani (Cape town) Wamalawi walikua hawasumbuliwi kupata visa yao Angola nilipofanya mambo yangu nikaachana nayo na ya SA hivyo hivyo yaani nahitaji kufanya kitu wakati huo au safari Passport sio kikwazo kwangu hata leseni za udereva hivyo hivyo ila sasa hivi wameongeza vipengele kidogo..E Passpprt ni ngumu na haiwezekani ukawa nazo E mbili utadakwa tu Airport..Ishi hivyo lakini information isileak
Nimecheka
😂😂😂Mimi nipo tz ila nilishaukana uraia tangu 2016
Bila shaka!Atakuwa muhindi karudi kwao
Swali zuri sana. [emoji1754]Wewe uraia wa Tanzania unakusaidia nini?