Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

Must be more than that, ukikana uraia inabidi uuambie ubalozi, urudishe passport na unalipa fee $100 ya cheti cha kukana uraia but nobody has time for that.
 
Ina leak wapi bhana mimi nishawahi tumia Passport ya Malawi kwenda nayo Angola na kurudi SA wakati huo huo nina passport ya Tanzania na SA zipo nyumbani (Cape town) Wamalawi walikua hawasumbuliwi kupata visa yao Angola nilipofanya mambo yangu nikaachana nayo na ya SA hivyo hivyo yaani nahitaji kufanya kitu wakati huo au safari Passport sio kikwazo kwangu hata leseni za udereva hivyo hivyo ila sasa hivi wameongeza vipengele kidogo..E Passpprt ni ngumu na haiwezekani ukawa nazo E mbili utadakwa tu Airport..
Hapo sasa umefafanua vizuri hapa kwenye electronic passport,

nafikri kwa miaka ya sasa huwezi kumiliki passport mbili kama huna uraia wa nchi mbili??
 
Kwa passpprt za sasa hivi hakuna kitu kama hicho hiyo ilikua zamani sisi wenyewe wakurungwa tumerudisha na kuifuta ID ya SA kwenye mfumo wao ili tuwe tunatambulika na ya kitanzania pekee huu mfumo wa E electronics ukiweka dole gumba tuu inasema una mikwaju mingapi hata kama umeacha nyumbani...
Kwanini umerudisha ya SA, wakati in nguvu kuliko ya Tz..?
 
Kwanini umerudisha ya SA, wakati in nguvu kuliko ya Tz..?
Kazi yake nilishaimaliza maana kipindi hicho ilikua mambo ya safari za Nje kuchukua Visa hazisumbui hata kupata kazi kwenye makampuni mengi ya tafiti ya mafuta baharini kwenye Oil rig zilikua zinapatikana hasa ukiwa na passport yao na pia kuleta Gari Tanzania au Zambia kwa usajili wa Uraia wa SA clearances zake zinafanyika haraka sana hata kutoka mipakani usumbufu hakuna na pia ilikua nakuja Tanzania kama mgeni na muda ukiisha natakiwa kuongeza muda kila wakati hizo mambo kufanya nyumbani hapana wakati SA kwenyewe hakueleweki siku yeyote wanafuta uraia wako wakiamua...
 
Ok nimekuelewa vyema mkuu
 
Back
Top Bottom