makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,171
- 3,461
Wachache sana hao.....ingekuwa laki saba hapo sawa.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachache sana hao.....ingekuwa laki saba hapo sawa.
Alirudi na Yabrazil hata kiswahili kinamchezaAlirudi tanzania kwa pasport ya Tanzania au brazil port of entry? , je kwa kipindi hicho ilikuwa ni Electronic PASSPORT?
Tena sio madogo mkuu hii nchi iyangalie NiDa ukitumia pesa chap, passport ukitaka ukitumia pesa chap, vyeti vya kuzaliwa Chap yaani pesa tu ww tumia fedha.Mkuu nchi hii ina mambo, kuna foreigners kibao wanajulikana kuwa foreigners wana passport na Nida kabisa. Hapa pesa ndo kila kitu
Kwa mfano wa Marekani, ukichukua uraia wa Marekani hakuna kitu kama kuukana uraia wako wa awali.Kungekuwa na option ya uraia pacha wala wasingeukana.
Kuukana uraia, ni maneno matupu ya kisheria ili upate huduma kama elimu, afya, kazi nzuri, nafadi za juu, uwezo wa kusafiri popote.
Bado una ndugu zako TZ, Baba, Mama, Babu, Bibi, Ukoo, ndipo ulipozaliwa. Moyo wako, upo pale.
Suluhisho ni Uraia pacha.
Wanaukana then wanapambania dual citizenship juu kwa juu huko
Uurejeshe wa kazi gani mzee!!? Zaidi ya kula vumbi hapa Tanzania kuna la maana lolote? Labda kutambika tu lakini nchi isiyojali raia wake sio ya kuishi kabis,soon na mimi naukanaukiukana kuupata ni kwikwi... sheria hairuhusu labda kama itafanyiwa marekebisho... hivyo ni bora usubiri dual ili uongeze uraia kuliko kuukana sasa ukitegemea kuurejesha pale kutakapo kuja kuwa na dual, maana ni ngumu labda kama sheria itazingatia kuwa rejeshea walio upoteza...
Mkuu nchi hii ina mambo, kuna foreigners kibao wanajulikana kuwa foreigners wana passport na Nida kabisa. Hapa pesa ndo kila kitu
Kwa mfano wa Marekani, ukichukua uraia wa Marekani hakuna kitu kama kuukana uraia wako wa awali.
Mimi nimechukua uraia wa Marekani miaka kadhaa sasa, na sijashurutishwa kuukana uraia wa Tanzania popote.
Kinachotokea labda ni upande wa Tanzania kusema kwamba ukichukua uraia wa nchi nyingine automatically umeukana uraia wa Tanzania.
Kitu ambacho mtu kama mimi sijafanya. Sijaukana uraia wa Tanzania. Hii inatakiwa kuwa ni formal process mpaka kuiandikia serikali ya Tanzania kusema tangu sasa mimi sitaki kuwa raia wenu tena.
Hapo ndipo nasema Tanzania inalazimisha watu waliochukua uraia Marekani wawe wameukana uraia wa Tanzania bila ya watu hao kuukana uraia wa Tanzania.
Yani ni kama hatuelewi kwamba kuna nchi kama Marekani zinaruhusu dual citizenship na zinaweza kukupa uraia wa Marekani bila wewe kuukana uraia wako wa awali.
🤣🤣🤣
Wenzetu washatoka kwe6 dual, unaweza ukawa hata raia wa nchi nne.Wanaukana then wanapambania dual citizenship juu kwa juu huko
Unaishi kwenye nchi ambayo vitu vinapanda bei, kila kukicha, eti mchumi namba moja(waziri wa fedha)anatoka hadharani eti tusilaumiane!!Mimi nipo tz ila nilishaukana uraia tangu 2016
Awaukani undugu bali utaifa sababu hatuna uraia pacha.Ilitakiwa ujana unakula na kuchuma nje kisha unaleta ndani uzee ni bora zaidi kumalizia nyumbani kuliko njeKukana utanzania ni sawa na Kuna ndugu zako, Namin wengi wao kama sio wote watakua wanawake
Awamu ya kukunanaAcha Waende Tu Hakuna Namna
Unaishi kwenye nchi ambayo vitu vinapanda bei, kila kukicha, eti mchumi namba moja(waziri wa fedha)anatoka hadharani eti tusilaumiane!!
Ccm haiwezi ruhusu dual nationality labda chama kingine.Dual itawabana ccm.ukiukana kuupata ni kwikwi... sheria hairuhusu labda kama itafanyiwa marekebisho... hivyo ni bora usubiri dual ili uongeze uraia kuliko kuukana sasa ukitegemea kuurejesha pale kutakapo kuja kuwa na dual, maana ni ngumu labda kama sheria itazingatia kuwa rejeshea walio upoteza...
Samahani naomba utaratibu wa kuukana uraia tafadhali.
Shida wabongo watamchomea utambi ipo siku ndo ataelewa bongo nyosso au atageuzwa mteja au chaka pindi maafisa wakijua.Mm naona haya mambo hayana issue hata ukiiukana ukitaka kurudi kuwa nyumbani unarudi na unaendelea na maisha yako. Kuna Jamaa yetu mmoja alikaa brazil miaka 30[emoji38][emoji23][emoji1787] Karudi juzijuzi tu anauraia wa Brazil na Passport ya Brazil hataki tena kurudi Brazil anaotesha tu vitu ardhini na ashapata passport ya hapa Tz bado Nida navenginevyo nasemaga hivi akitaka kuondoka siwatamdaka huyu.
Sisi tunapambania vitambulisho vya MIDAWenzetu washatoka kwe6 dual, unaweza ukawa hata raia wa nchi nne.
Dah! we jamaa kweli umechoka [emoji23][emoji23]Hivi tunaukania wapi maana mm nishachoka bora niukane hapa Tz niombe ukimbizi huko Norway au ujerumani
Sifirkiri amchome nani kwa mfano huo utambi hilo dogo mbona kuna raia wengi kutoka Nairobi, kwa kuwajua kabisa wana Nida, Passport na wafanyabiashara wakubwa hapa Kariakoo wako miaka na miaka hakuna linalo jiri pesa inaleta ukiritimba ndani ya hii nchi yetu kikubwa usiwaudhi wala nchi na wenye nchi na usijihusishe na siasa basi.Shida wabongo watamchomea utambi ipo siku ndo ataelewa bongo nyosso au atageuzwa mteja au chaka pindi maafisa wakijua.
Maana wakiingia tu kwenye data base atapewa 24hrs note aondoke nchini sio raia plus kesi juu ya kujipatia passport ya kitanzania hali si Mtanzania.
Inatakiwa aishi kwa vibali hadi miaka 7 kisha ndo aombe kujadiliwa kuwa Mtanzania, kuanzia ngazi ya mtaa hadi kwa Waziri.