Watanzania 38 waukana uraia wa Tanzania

Must be more than that, ukikana uraia inabidi uuambie ubalozi, urudishe passport na unalipa fee $100 ya cheti cha kukana uraia but nobody has time for that.
 
Hapo sasa umefafanua vizuri hapa kwenye electronic passport,

nafikri kwa miaka ya sasa huwezi kumiliki passport mbili kama huna uraia wa nchi mbili??
 
Kwanini umerudisha ya SA, wakati in nguvu kuliko ya Tz..?
 
Kwanini umerudisha ya SA, wakati in nguvu kuliko ya Tz..?
Kazi yake nilishaimaliza maana kipindi hicho ilikua mambo ya safari za Nje kuchukua Visa hazisumbui hata kupata kazi kwenye makampuni mengi ya tafiti ya mafuta baharini kwenye Oil rig zilikua zinapatikana hasa ukiwa na passport yao na pia kuleta Gari Tanzania au Zambia kwa usajili wa Uraia wa SA clearances zake zinafanyika haraka sana hata kutoka mipakani usumbufu hakuna na pia ilikua nakuja Tanzania kama mgeni na muda ukiisha natakiwa kuongeza muda kila wakati hizo mambo kufanya nyumbani hapana wakati SA kwenyewe hakueleweki siku yeyote wanafuta uraia wako wakiamua...
 
Ok nimekuelewa vyema mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…