Watanzania acheni roho mbaya

Ukishajua kua Msaada sio lazima wala haki yako na kumsaidia mtu sio lazima aje akusaidie huko mbele utaishi maisha yasio kua na stress...Waswahili walisema tenda wema kisha nenda zako usingoje fadhila...

Nnachokiona kwako ni ww kulazimisha kusaidiwa which is not right..ss wenyewe Sir God hua tunamuomba and he get silence bt we cant be mad at him, you should do the same kwa wanadamu wenzio maana sisi tumeumbwa kwa mfano wake..akikusaidia shukuru & asipokusaidia shukuru pia sio kuanza kulalamika while unajua msaada sio shuruti...unaweza hisi ww ulistahili huo msaada kumbe in his/her mind akahis someone else diserve it more than you did or huuitaji kabisa...
 
Jamaa mkorofi sana wewe![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtu anajichomeka umsaidie yeye utake usitake.

Hafikirii wewe umeamkaje siku hiyo, una matatizo yako mwenyewe gani, hajui unaweza kuonekana unazo lakini ukawa na matatizo kibao.

Hii hali ya kutomfikiria mwenzako na kujiweka wewe mbele lazima usaidiwe ndiyo roho mbaya yenyewe.

Ukiomba msaada, ujue kuna kukubaliwa na kukataliwa.

Ukikubaliwa shukuru, ukikataliwa shukuru. Msaada si sharti.

Sasa mtu kakataliwa msaada anaanzishq uzi!

Hapo kuna umasikini umeongezewa ubinafsi.
 
Kuna watu wana umasikini tangu kwenye mawazo yao.

Kwa nini?

Mtu kashajiwekea kwamba lazima asaidiwe, huyo automatically atakuwa hana ari ya kupambana mwenyewe. Yani anajiwekea kusaidiwa yeye kuwa ni haki yake. Hela yako, anaipigia mahesabu yeye.

Mimi falsafa ya "cha mtu mavi" imenisaidia sana kuweza kujitegemea.
 
Daaaah!
 
Hatari sana!
 
Ukikwama ukahitaji kushikwa mkono .
Huo ndio msaada
Upo sahihi lakini mwenye uamuzi wa kusaidia au la ni mtoaji na mwenye kuweka masharti ya namna gani ya kusaidia ni mtoaji pia...

Ni kama benki tu, ukienda tafuta mkopo unapewa masharti ya riba...
 
Upo sahihi lakini mwenye uamuzi wa kusaidia au la ni mtoaji na mwenye kuweka masharti ya namna gani ya kusaidia ni mtoaji pia...

Ni kama benki tu, ukienda tafuta mkopo unapewa masharti ya riba...
Kwa hiyo wewe ni benkii kuu saidia usaidie
 
Haswa wanaume wana hii tabia Yaan mfano unaenda ofisini labda kuna document unafatilia anaanza kukutongoza
Yaan kila sehemu utakayoenda iwe ofisi za umma ukiwa unafatilia kitu lazima utingozwe inakera badilikenii
Mtu anakutafuta labda mlipotezana hivi unashangaa anakutaka inakera mwanaume akiwa kawekwa seehmu anataka tongoza kila mtu
 
Hawajui siye hatumaind kutongozwa .
 
Si unampatia tu kwani anaondoka nayo,au labda ukimpa itaisha!?
 
Unaandika maneno ya kiswahili lakini sikuelewi.Ni tatizo langu la kutokukuelewa.Lisihusishwe na kulala na njaa.
 
Huyu msela hata vocha nilikuwa nampa, chakula na chochote kama kipo ndani ya uwezo wangu kama rafiki ila yeye sijajua aliniona kama mteremko. Unajua inauma kama mtu anakuona myeyusho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…