Watanzania acheni unafiki, ina maana kifo cha Ivan kimewauma kuliko Dogo Mfaume?

Ile COMA.ndo imewahuzunisha watu.
Dogo mfaume nadhani unajua chanzo cha kifo chake.
Alafu tusipangiane nani wa kumlilia.
 
Mmmmm ndo sante kayumba ama??? Umeandika lugha gani??? We umeshawah kuona hayo makampuni?? Watu mnajifanya kumjua Ivan kwa kumuona insta... watanzania sijui tukoje...
 
Pooovuuuu


Acha kumuonea marehemu wivu
 
Uko sahihi saaana Mkuu... Watanzania nani katuroga na haka katabia ya kushobokea vya wapita njia... Aibu sana hii
 
VITU VITAKAVYOFANYA IVAN SEMWENGA EX HUSBAND WA ZARI AKUMBUKWE NI HIVI​

 
Bila shaka Diamond atakuwa anashangilia kimoyomoyo..! Raha ya single mother baba mtoto/afariki tu.
 
Pesa INA nguvu sana mkuu!
Hapo usitafute mchawi jombaaaa!
Hiyo yote imetokana Na nguvu ya shekeri
Mkuu ukifikiria mtonyo aliokuwa nao na ameuacha lazima ikuume....Kinachouma ni mtonyo hapo alioucha jamaa....Mtonyo mkuuu yaani hapo mtonyooo
 
Msiba wa tajiri ni zaidi ya msiba wa maskini.
Dogo mfaume angekuwa na pesa mingi leo angekuwa talk of the town. Why msiba wake hausikiki? No money.

Why ivan msiba wake unasikika? Simply because of money.. and ofcourse zari...
 
Pesa INA nguvu sana mkuu!
Hapo usitafute mchawi jombaaaa!
Hiyo yote imetokana Na nguvu ya shekeri
Mkuu ukifikiria mtonyo aliokuwa nao na ameuacha lazima ikuume....Kinachouma ni mtonyo hapo alioucha jamaa....Mtonyo mkuuu yaani hapo mtonyooo
Jamaa alikuwa vizuri aisee!
 
Umenena yaliyo sawa .Hasa wasanii wa Bongo movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…