Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika gani kama huyo unaemlilia alikua msafi wa hilo?? Je kama alikua muuzaji..Zaidi ya kuvuta mibange na unga ana mchango upi katika jamii wa kutufanya kupotez bando zetu kumlilia?
Ile COMA.ndo imewahuzunisha watu.Watanzania kwa unafiki tu hatujambo, sishangai ndio maana hatuendelei.
Leo nimeshangaa sana baada ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii nakuta watu wengi wakilia na kuonyesha kuumia sana na kifo cha Ivan, kwanza niseme tu mimi nilikua simjui huyo ndugu, nikataka kujua ni mtu wa wapi nikaambiwa ni mganda alikua mume wa mke wa Daimondi.
Nikauliza kama ni msanii labda wa muziki au maigizo nikaambiwa hapana ni social celebrity tu, anyway sina shida na hilo lakini kilichonishangaza ni kukuta watu kuonekana wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko mtanzania mwenzao Dogo mfaume ambae amezikwa juzi na sikuona msanii yoyote ametupia picha ya dogo mfaume au basi kutoa pole.
Utashangaa kifo cha Ivan kimewaumiza sana watanzania kuliko mtanzania mwenzao aliefariki juzi tu hapa, na utashangaa kujua kua watanzania wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko hata waganda.
Unafiki jambo baya sana.
Na ukiambiwa huyo Ivan ndo alikua muuzaji????Huyo dogo mfaume aliendekeza madawa ya kulevya na ndiyo yaliyomuuwa
Mmmmm ndo sante kayumba ama??? Umeandika lugha gani??? We umeshawah kuona hayo makampuni?? Watu mnajifanya kumjua Ivan kwa kumuona insta... watanzania sijui tukoje...Yile dogo mfaume alikuwa mubuya ngada sasa ss watu wazima nahakilizetu tukajadili mubuya unga.. Ivani tunasikitika kwasababu alikuwa nimti anaejitambua najambo lingine alikua nimtu mwenyeuwezo wakufeza maana alikua namakampuni.. Hatusikitiki sana kwasababu kafatajili bali tunawasilitikia wafanyakaziwake waliopo maana makampuni mengi ya kiafirika anapokufa mwenyekampuni na makampuni yake huishia pale inamaana ajila za wafanyakaziwake ziko lehani.nakwavile watotowake bado niwadogo nawao wanaweza kupigwa changa la macho mali zababayao zikaliwa nawajanja hilo ndilolilo tuhuzunisha
Jifunze kusoma na kuelewa kabla hujawashwa kujibu, wapi nimesema yeye sio binadam na hatakiwi kuliliwa? Kabl hujakurupuka kujibu jambo lolote jitahidi kwanza kuelewa usije kuonekana mweupe kichwani hata kwa vitu vilivyo wazi kabisa hata mtoto wa chekechea anaweza kuvielewa.
Uko sahihi saaana Mkuu... Watanzania nani katuroga na haka katabia ya kushobokea vya wapita njia... Aibu sana hiiWatanzania kwa unafiki tu hatujambo, sishangai ndio maana hatuendelei.
Leo nimeshangaa sana baada ya kuingia kwenye mitandao ya kijamii nakuta watu wengi wakilia na kuonyesha kuumia sana na kifo cha Ivan, kwanza niseme tu mimi nilikua simjui huyo ndugu, nikataka kujua ni mtu wa wapi nikaambiwa ni mganda alikua mume wa mke wa Daimondi.
Nikauliza kama ni msanii labda wa muziki au maigizo nikaambiwa hapana ni social celebrity tu, anyway sina shida na hilo lakini kilichonishangaza ni kukuta watu kuonekana wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko mtanzania mwenzao Dogo mfaume ambae amezikwa juzi na sikuona msanii yoyote ametupia picha ya dogo mfaume au basi kutoa pole.
Utashangaa kifo cha Ivan kimewaumiza sana watanzania kuliko mtanzania mwenzao aliefariki juzi tu hapa, na utashangaa kujua kua watanzania wameumia sana na kifo cha Ivan kuliko hata waganda.
Unafiki jambo baya sana.
Hahahaha we jamaa kwel screpaAlikuwa Bashite
Mkuu ukifikiria mtonyo aliokuwa nao na ameuacha lazima ikuume....Kinachouma ni mtonyo hapo alioucha jamaa....Mtonyo mkuuu yaani hapo mtonyoooPesa INA nguvu sana mkuu!
Hapo usitafute mchawi jombaaaa!
Hiyo yote imetokana Na nguvu ya shekeri
Jamaa alikuwa vizuri aisee!Mkuu ukifikiria mtonyo aliokuwa nao na ameuacha lazima ikuume....Kinachouma ni mtonyo hapo alioucha jamaa....Mtonyo mkuuu yaani hapo mtonyooo
Umenena yaliyo sawa .Hasa wasanii wa Bongo movieWatanzania kwa unafiki tu hatujambo, sishangai ndio maana hatuendelei.