Watanzania bado tuna akili mbovu ya kuona uteuzi ni kuula na sio kutumikia taifa, huku tukibariki ufisadi

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi.

Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia tunatarajia watu wanaofanya kazi sehemu kama TRA au trafiki polisi au nafasi fulani ya juu watumie nafasi zao kujinufaisha, nje ya mishahara yao halali.

Inafika mahali watu wanaoteuliwa katika nafasi fulani inabidi wafanye ufisadi kwa kuwa wasipofanya jumuia ya Watanzania itawaona wajinga kwa kutotumia nafasi zao za kazi kujinufaisha! Na dhambi kubwa sana aliyofanya raisi Samia katika kufikiri huku kulikopotoka ni kusema kwamba kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake! Amebariki usemi kwamba yule jamaa alikuwa TRA miaka ishirini kastaafu hana kitu!

Unakuta raisi akitangaza baraza la mawaziri, tunaona January Makamba ameula kwa kuwa amepewa wizara ya Nishati na sio wizara ya Wanawake na watoto. Na akihamishiwa wizara ya utamaduni na michezo akaendeleze vipaji vya uandishi tunaona ameporomoka na aliechukua nafasi yake ameula! Nasikia kuna baadhi ya mawaziri baba zao wenye influence wanashinikiza watoto wao wapewe wizara zenye "ulaji"!

Kama kweli hautubariki ufisadi, kwa nini tuone mtu fulani ameula anapopewa kazi TRA au kuteuliwa waziri wizara ya Nishati badala ya Wizara ya Wanawake? Kwa nini tumseme mtu anaefanya kazi TRA au trafiki polisi ni mjinga ikiwa anaishi kwa mshahara wake halali? Kwa nini nikiteuliwa kuwa mkurugenzi wa Tanesco au REA unaniona mie mjinga kwa kuwa naishi maisha ya kawaida kwa kutumia mshahara wangu?

Halafu tunauliza maswali eti kwa nini nchi yetu haiendelei, wakati akili zetu zimejaa ufisaidi tu. Siku tukiondokana na mawazo haya ya kifisadi, kwa kuona kuteuliwa ni nafasi ya kujenga taifa na sio kuukata au kuula, basi nchi yetu itapiga kasi kubwa sana ya maendeleo.
 
Sasa mkuu ikiwa aliyeniteuwa ametuita kwa semina baada ya kututeuwa katikati ya aliyotuitia akasisitiza kwamba tule lakini tule kwa urefu wa kamba zetu unadhani nitaacha kupiga mapema?
 
Nitasema na nitaendelea kuwa sema nitaendelea kuwaambia hawa washenzi wanao penda kututukana Watanzania wote kwa sababu ya issue moja!
Mtu una ishi na wajinga na washenzi na wapumbavu, ukoo mzima umejaa mazezeta tu, hamna wanayo jua alafu unakuja JF na kuanzisha liuzi la WATANZANIA WOTE!
Ushike adabu yako wewe kijana mdogo na mjinga.
Vibuyu ni wewe na ukoo wako wote sio Watanzania yaani koma kabisa mjinga wewe[emoji35]
Psychopath mkubwa ptuuuu
IMG_0117.jpg
 
Nimewahi kulizungumzia hili, na nitalizungumza tena. Watanzania bado tuna akili mbovu sana ya kuuona uteuzi kama fursa ya "kuula" au kufaidika kibinafsi.

Tunalaumu ufisadi, huku mtu anaefanya kazi TRA asiponunua gari miaka miwili baada ya kuanza kazi tunamwona mjinga! Ni wazi kwamba kama jumuia tunatarajia watu wanaofanya kazi sehemu kama TRA au trafiki polisi au nafasi fulani ya juu watumie nafasi zao kujinufaisha, nje ya mishahara yao halali.

Inafika mahali watu wanaoteuliwa katika nafasi fulani inabidi wafanye ufisadi kwa kuwa wasipofanya jumuia ya Watanzania itawaona wajinga kwa kutotumia nafasi zao za kazi kujinufaisha! Na dhambi kubwa sana aliyofanya raisi Samia katika kufikiri huku kulikopotoka ni kusema kwamba kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake! Amebariki usemi kwamba yule jamaa alikuwa TRA miaka ishirini kastaafu hana kitu!

Unakuta raisi akitangaza baraza la mawaziri, tunaona January Makamba ameula kwa kuwa amepewa wizara ya Nishati na sio wizara ya Wanawake na watoto. Na akihamishiwa wizara ya utamaduni na michezo akaendeleze vipaji vya uandishi tunaona ameporomoka na aliechukua nafasi yake ameula! Nasikia kuna baadhi ya mawaziri baba zao wenye influence wanashinikiza watoto wao wapewe wizara zenye "ulaji"!

Kama kweli hautubariki ufisadi, kwa nini tuone mtu fulani ameula anapopewa kazi TRA au kuteuliwa waziri wizara ya Nishati badala ya Wizara ya Wanawake? Kwa nini tumseme mtu anaefanya kazi TRA au trafiki polisi ni mjinga ikiwa anaishi kwa mshahara wake halali? Kwa nini nikiteuliwa kuwa mkurugenzi wa Tanesco au REA unaniona mie mjinga kwa kuwa naishi maisha ya kawaida kwa kutumia mshahara wangu?

Halafu tunauliza maswali eti kwa nini nchi yetu haiendelei, wakati akili zetu zimejaa ufisaidi tu. Siku tukiondokana na mawazo haya ya kifisadi, kwa kuona kuteuliwa ni nafasi ya kujenga taifa na sio kuukata au kuula, basi nchi yetu itapiga kasi kubwa sana ya maendeleo.
Kweli kabisa !!
 
Nitasema na nitaendelea kuwa sema nitaendelea kuwaambia hawa washenzi wanao penda kututukana Watanzania wote kwa sababu ya issue moja!
Mtu una ishi na wajinga na washenzi na wapumbavu, ukoo mzima umejaa mazezeta tu, hamna wanayo jua alafu unakuja JF na kuanzisha liuzi la WATANZANIA WOTE!
Ushike adabu yako wewe kijana mdogo na mjinga.
Vibuyu ni wewe na ukoo wako wote sio Watanzania yaani koma kabisa mjinga wewe[emoji35]
Psychopath mkubwa ptuuuuView attachment 2500527
Ni kweli ni baadhi ya Watanzania ambao hawana uelewa wanadhani ukipewa wadhifa maana yake ni kula. Kama umewahi kupewa nafasi ya juu utajua uwajibikaji unavyodai elimu, uzoefu, hekima na maarifa pia unavyokondesha na kuwanyima raha wale ambao wameteuliwa, ila mradi wawe wameteuliwa wakiwa na vigezo sahihi vya wadhifa wenyewe!
 
Watu wanaangalia mavieite ndipo wanaposema ameula !!
 
Back
Top Bottom