Watanzania bado wanaishi kwenye umasikini wa kutisha

Mkuu sio Tanzania pekee, sehemu nyingi tu hapa Africa nilizofanikiwa kufika bado maisha hayo yapo

Baada ya kupata nafasi kufika baadhi ya nchi developed duniani, aisee nilitamani kulia. Mlipa kodi anathaminiwa sana. Imagine mtu aliyepo maeneo ya vijiji still ana access na huduma karibuni zote ambazo mjini wanazipata. Yaani ukifika Ulaya ndio unaamini sisi waadrika ni Mavampaya
 
Na hakuna hata mikakati ya kudumu ya kuonesha nia thabiti ya kukabiliana na hili swala.

Nchi inamiaka zaidi ya 50 ila hadi leo bado hakuna eneo lolote la kijamii ambalo unaweza kusema lipo stable kwa angalau asilimia 90.
 
Noma sana mkuu
 
UKIFIKA MAREKANI KIDOGO INAWEZA KUBADILISHA MTAZAMO WAKO.
KULE KUNA MAJAMAA ILI MAMBO YAENDE INABDI YAFANYE KAZI USIKU NA MCHANA. SASA WEWE MAISHA GANI YA KUFANYA KAZI MASAA 20
 
UKIFIKA MAREKANI KIDOGO INAWEZA KUBADILISHA MTAZAMO WAKO.
KULE KUNA MAJAMAA ILI MAMBO YAENDE INABDI YAFANYE KAZI USIKU NA MCHANA. SASA WEWE MAISHA GANI YA KUFANYA KAZI MASAA 20
Kufanya kazi ni lazima
 
MIMI NILIFUNDISHWA KUFANYA KAZI NA KUUPA MWILI POLE.
HAIWEZEKANI UJE DUNIANI KUTESEKA NA KUWAZALISHIA WATU WENGINE PESA MAISHA YAKO YOTE
Mwanaume ni fanya kazi utapumzika siku ukiwa kaburini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…