Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo.
Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala.
Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema za Mungu hivyo mlioko kwenye madaraka kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia. Unaweza tumia nguvu na kila aina ya sarakasi kutaka ukikalie tena kiti ila kumbukeni bado mnaweza msikikalie.
Madaraka nikama koti lakuazima msijisahau wapo mnatamani viti zaidi ya hivyo mmevikalia ila wapo mnatamani kurudi viti vyenu vile vile hayo tumwachie Mungu hakuna ajuwaye.
Haki ndio msingi wa madaraka yenu mlio nayo tendeni haki maana kipengele hiki kitamfanya Mungu mwenyewe shuka nakuwatete wale wanyonge hakuna haja yakuandamana wala kufunga barabara ila Mungu mwenyewe anasema yeye ni Mungu wa haki.
Baada ya kusema hayo Mungu ananionyesha tusipo yatambuwa haya nimeanza nayo basi dhoruba inaweza kukipiga chombo na dhoruba yaweza kuwa kali sana ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa history ya vyama vingi. Kuna kila dalili ikiwa Mungu ataona inafaa kwa masilahi ya Taifa hili basi ata achia dhoruba ili tukae sawa na kisha tumuogope na hapa ndipo nakuomba ndugu Mtanzania ombea Taifa lako ombea viongozi na watanzania. Hatuto kuwa taif la kwanza wala lamwisho kukumbwa na dhoruba Mungu anatukumbusha kusoma alam za nyakati tunapo toka na kule tunaenda. Amen.
NB
Huu niutabiri ya yale nayaona ktk pich zakiroho sio lazima utimie maana kumbuka nimesema tuombe na hiyo ndio nji pekee kusimamisha dhoruba.