Watanzania bara na visiwani ombeni juu ya uchaguzi 2025

Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo.

Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala.
Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema za Mungu hivyo mlioko kwenye madaraka kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia. Unaweza tumia nguvu na kila aina ya sarakasi kutaka ukikalie tena kiti ila kumbukeni bado mnaweza msikikalie.

Madaraka nikama koti lakuazima msijisahau wapo mnatamani viti zaidi ya hivyo mmevikalia ila wapo mnatamani kurudi viti vyenu vile vile hayo tumwachie Mungu hakuna ajuwaye.

Haki ndio msingi wa madaraka yenu mlio nayo tendeni haki maana kipengele hiki kitamfanya Mungu mwenyewe shuka nakuwatete wale wanyonge hakuna haja yakuandamana wala kufunga barabara ila Mungu mwenyewe anasema yeye ni Mungu wa haki.

Baada ya kusema hayo Mungu ananionyesha tusipo yatambuwa haya nimeanza nayo basi dhoruba inaweza kukipiga chombo na dhoruba yaweza kuwa kali sana ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa history ya vyama vingi. Kuna kila dalili ikiwa Mungu ataona inafaa kwa masilahi ya Taifa hili basi ata achia dhoruba ili tukae sawa na kisha tumuogope na hapa ndipo nakuomba ndugu Mtanzania ombea Taifa lako ombea viongozi na watanzania. Hatuto kuwa taif la kwanza wala lamwisho kukumbwa na dhoruba Mungu anatukumbusha kusoma alam za nyakati tunapo toka na kule tunaenda. Amen.

NB
Huu niutabiri ya yale nayaona ktk pich zakiroho sio lazima utimie maana kumbuka nimesema tuombe na hiyo ndio nji pekee kusimamisha dhoruba.
I am sure this time atapiga wale madalali uchwara wa upinzani wanaouza nafasi za uongozi kwa vipande vya pesa

Chanzo kikuu cha siasa mbovu ni upinzani njaa-njaa

Akianzia pale…. Tutakaa sawa
 
Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo.

Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala.
Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema za Mungu hivyo mlioko kwenye madaraka kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia. Unaweza tumia nguvu na kila aina ya sarakasi kutaka ukikalie tena kiti ila kumbukeni bado mnaweza msikikalie.

Madaraka nikama koti lakuazima msijisahau wapo mnatamani viti zaidi ya hivyo mmevikalia ila wapo mnatamani kurudi viti vyenu vile vile hayo tumwachie Mungu hakuna ajuwaye.

Haki ndio msingi wa madaraka yenu mlio nayo tendeni haki maana kipengele hiki kitamfanya Mungu mwenyewe shuka nakuwatete wale wanyonge hakuna haja yakuandamana wala kufunga barabara ila Mungu mwenyewe anasema yeye ni Mungu wa haki.

Baada ya kusema hayo Mungu ananionyesha tusipo yatambuwa haya nimeanza nayo basi dhoruba inaweza kukipiga chombo na dhoruba yaweza kuwa kali sana ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa history ya vyama vingi. Kuna kila dalili ikiwa Mungu ataona inafaa kwa masilahi ya Taifa hili basi ata achia dhoruba ili tukae sawa na kisha tumuogope na hapa ndipo nakuomba ndugu Mtanzania ombea Taifa lako ombea viongozi na watanzania. Hatuto kuwa taif la kwanza wala lamwisho kukumbwa na dhoruba Mungu anatukumbusha kusoma alam za nyakati tunapo toka na kule tunaenda. Amen.

NB
Huu niutabiri ya yale nayaona ktk pich zakiroho sio lazima utimie maana kumbuka nimesema tuombe na hiyo ndio nji pekee kusimamisha dhoruba.
Huyo ni Mungu au mungu?
Ni yupi?
Kikundi cha watu chenye kuamua mwelekeo wa nchi uweje hata kwa gharama za kuua mtawala au kiongozi yoyote akienda kinyume na maslahi yao binafsi kikundi kidogo badala ya maslahi ya wengi na (taifa) ndiyo kinaitwa Mungu?
Mungu gani huyu watu wanatekwa na kufanyiwa kila aina ya mateso na wengine kuuawa halafu kakaa kimya hatoi adhabu au ni kikundi cha watu wahuni kilichojimilikisha nchi?
Waafrika tuache ubinafsi, uroho na kuangalia leo tu, tujifunze kutoka kwa mataifa ya Ulaya na Kiarabu kwa namna gani rasilimali za nchi zao zinanufaisha asilimia kubwa ya wananchi wake.
 
Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo.

Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala.
Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema za Mungu hivyo mlioko kwenye madaraka kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia. Unaweza tumia nguvu na kila aina ya sarakasi kutaka ukikalie tena kiti ila kumbukeni bado mnaweza msikikalie.

Madaraka nikama koti lakuazima msijisahau wapo mnatamani viti zaidi ya hivyo mmevikalia ila wapo mnatamani kurudi viti vyenu vile vile hayo tumwachie Mungu hakuna ajuwaye.

Haki ndio msingi wa madaraka yenu mlio nayo tendeni haki maana kipengele hiki kitamfanya Mungu mwenyewe shuka nakuwatete wale wanyonge hakuna haja yakuandamana wala kufunga barabara ila Mungu mwenyewe anasema yeye ni Mungu wa haki.

Baada ya kusema hayo Mungu ananionyesha tusipo yatambuwa haya nimeanza nayo basi dhoruba inaweza kukipiga chombo na dhoruba yaweza kuwa kali sana ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa history ya vyama vingi. Kuna kila dalili ikiwa Mungu ataona inafaa kwa masilahi ya Taifa hili basi ata achia dhoruba ili tukae sawa na kisha tumuogope na hapa ndipo nakuomba ndugu Mtanzania ombea Taifa lako ombea viongozi na watanzania. Hatuto kuwa taif la kwanza wala lamwisho kukumbwa na dhoruba Mungu anatukumbusha kusoma alam za nyakati tunapo toka na kule tunaenda. Amen.

NB
Huu niutabiri ya yale nayaona ktk pich zakiroho sio lazima utimie maana kumbuka nimesema tuombe na hiyo ndio nji pekee kusimamisha dhoruba.
Mungu/mungu wa Tanzania jina lake nani?
Au ni kikundi cha watu wahuni ndiyo unawaita mungu?
Kikundi kimeruhusu watu watekwe ovyo ovyo, kwani nchi haina utawala wa sheria?
Wenye kuonekana wanamakosa wafunguliwe kesi kuliko kuwateka na kuwaua.
Liko wapi baraza la usalama wa taifa?
Wako wapi wazee wastaafu waliolitumikia hili taifa kwa rank za juu, wameshindwa kuja pamoja wakakaa na kuwashauri watawala kwamba wanavyofanya sivyo?
Katiba hii ya 1977 wakati wa enzi zao ilikuwa sawa, wameshindwa kukamua kuwaweka mezani watawala na kuwashinikikiza kumalizia mchakato wa katiba mpya rasimu ile ya Warioba?
Hawa wazee wanafurahia kuwa na taifa la namna hii? Bandari kukodishwa watu wa nje?
Ngorongoro kupewa wajomba?
Wajukuu na vitunguu wa wastaafu wanaacha taifa la aina gani?
 
Ombi langu ni kuwa uwapali zaidi wasimamizi wasaidizi na waenguaji zaidi ya sasa hata kikohozi au maji yakunywa yawe ni pilipili katika kutuliza kupaliwa kwao.
 
Ndio maneno hayo ya 'Manabii" siku zote.
"Watu wanatenda sana dhambi. Mungu Anafikiria kuitakasa Dunia"
Lakini,of course,siyo Mungu anaitakasa Dunia.
Ila ni watu katika chuki zao wanatoana ngeo.
 
Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo.

Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala.
Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema za Mungu hivyo mlioko kwenye madaraka kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia. Unaweza tumia nguvu na kila aina ya sarakasi kutaka ukikalie tena kiti ila kumbukeni bado mnaweza msikikalie.

Madaraka nikama koti lakuazima msijisahau wapo mnatamani viti zaidi ya hivyo mmevikalia ila wapo mnatamani kurudi viti vyenu vile vile hayo tumwachie Mungu hakuna ajuwaye.

Haki ndio msingi wa madaraka yenu mlio nayo tendeni haki maana kipengele hiki kitamfanya Mungu mwenyewe shuka nakuwatete wale wanyonge hakuna haja yakuandamana wala kufunga barabara ila Mungu mwenyewe anasema yeye ni Mungu wa haki.

Baada ya kusema hayo Mungu ananionyesha tusipo yatambuwa haya nimeanza nayo basi dhoruba inaweza kukipiga chombo na dhoruba yaweza kuwa kali sana ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa history ya vyama vingi. Kuna kila dalili ikiwa Mungu ataona inafaa kwa masilahi ya Taifa hili basi ata achia dhoruba ili tukae sawa na kisha tumuogope na hapa ndipo nakuomba ndugu Mtanzania ombea Taifa lako ombea viongozi na watanzania. Hatuto kuwa taif la kwanza wala lamwisho kukumbwa na dhoruba Mungu anatukumbusha kusoma alam za nyakati tunapo toka na kule tunaenda. Amen.

NB
Huu niutabiri ya yale nayaona ktk pich zakiroho sio lazima utimie maana kumbuka nimesema tuombe na hiyo ndio nji pekee kusimamisha dhoruba.
Huyo Mungu yupo wapi wakati watu wanatekwa na kunyongwa kila siku!
Kila kitu maombi, haya ndio Mambo yakijinga ya mtu mweusi, umeishapewa akili, tumia bongo, Korea ya kusini, iliwahi kutawaliwa kidikiteta, watu waliumizwa kweli kweli, wananchi hawakukaa chini na kuomba Mungu! Walilianzisha, Leo hii Korea, imewapa samsung Galaxy dunia nzima inachekelea,
Mabaya ya nchi hii, ni ccm period, India ccm, nchi itapona,ondoa ccm kwa mtutu wa bunduki ndio dawa,
 
Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo.

Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala.
Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema za Mungu hivyo mlioko kwenye madaraka kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia. Unaweza tumia nguvu na kila aina ya sarakasi kutaka ukikalie tena kiti ila kumbukeni bado mnaweza msikikalie.

Madaraka nikama koti lakuazima msijisahau wapo mnatamani viti zaidi ya hivyo mmevikalia ila wapo mnatamani kurudi viti vyenu vile vile hayo tumwachie Mungu hakuna ajuwaye.

Haki ndio msingi wa madaraka yenu mlio nayo tendeni haki maana kipengele hiki kitamfanya Mungu mwenyewe shuka nakuwatete wale wanyonge hakuna haja yakuandamana wala kufunga barabara ila Mungu mwenyewe anasema yeye ni Mungu wa haki.

Baada ya kusema hayo Mungu ananionyesha tusipo yatambuwa haya nimeanza nayo basi dhoruba inaweza kukipiga chombo na dhoruba yaweza kuwa kali sana ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa history ya vyama vingi. Kuna kila dalili ikiwa Mungu ataona inafaa kwa masilahi ya Taifa hili basi ata achia dhoruba ili tukae sawa na kisha tumuogope na hapa ndipo nakuomba ndugu Mtanzania ombea Taifa lako ombea viongozi na watanzania. Hatuto kuwa taif la kwanza wala lamwisho kukumbwa na dhoruba Mungu anatukumbusha kusoma alam za nyakati tunapo toka na kule tunaenda. Amen.

NB
Huu niutabiri ya yale nayaona ktk pich zakiroho sio lazima utimie maana kumbuka nimesema tuombe na hiyo ndio nji pekee kusimamisha dhoruba.
Huna kitu chochote wewe mganga njaa eti unajifanya mtabiri. Mashudu matupu. Unaye mtaka ni marehemu hawezi kufufuka.
 
Tanzania ni Taifa lililokufa kiroho

Linaongozwa na watu waliokufa kiroho

Ndio maana Kuna ugumu wa wao kuongoza

Wachague kumrudia yeye atoaye madaraka au kufa na kamba shingoni 2025 uchaguzi haufiki Samia ajafa au kukimbia ikulu
 
Tumewaachia CCM maana tukishiriki uchaguzi tutabaki vilema! Maana mitaa ni vile je uchaguzi mkuu si yatakuwa mauaji ya kimbali
 
Wazulu wangelikaa bila ya kupambana na makaburu wangekuwa kama red indians au Waborigin. Naona watanzania tumekuwa kama mazuzu

Mungu yupo na hili Taifa kwa miaka mingi sana.

Waarabu karne ya 17 walikua wameshajaa pwani ya kilwa wakiwa na Empire kubwa sana . Walikua wanawauza Watangayika kama dagaa na kuwahasi wanaume huku wakiwazalisha kwa nguvu wanawake weusi kwa lengo la kumaliza kizazi cha Watangayika au watu weusi .
Mungu aliruhusu Wareno kuja na kuwasambaratisha na kuvunjavunja Himaya yao na mpaka leo imebaki historia.
Wareno kwa sababu nao kidogo wana ukatili basi nao walikumbana na nguvu ya Mjerumani na kurudishwa huko Msumbiji .

Wajerumani nao kwa sababu ya kutumia viboko na mateso na kuteka na kuua watu kama serikali ya Awamu ya 666 (SaMia sita sitini na sita ) Mungu kwa Rehema zake aliwaruhusu Waingereza waungwana kuja na kuwafurumisha Wajerumani na kutelekeza fedha na dhahabu zao huko maporini.

Waingereza nao walipozidisha unyonyaji Mungu akalitumia Kanisa Katoliki kuwaandaa wasomi wenye ushawishi kama Julius Kambarage Burrito Nyerere kupigania uhuru bila kumwaga damu za Watu wa Mungu yaani Watangayika .

Ninaamini Serikali huo ya awamu 666 Haijafikia ukatili wa serikali ya zama za giza ya Waarabu iliyokua inauza watu kama Nyanya sokoni na kutupa zile mbovu . Hivyo haina muda mrefu itakutana na mkono wa Mungu yule yule aliyeitoa itoa Tanganyika kwenye mikono ya Waovu wakoloni wa Kiarabu , Wareno ,Wajerumani, Waingereza na sasa CCM chini ya kundi ovu la watu wasiojulikana. Wote hao waliwafanyia Watangayika ukatili mkubwa kwa lengo la kutafuta mali na kutawala.
Mungu ni yeye yule jana ,Leo na hata milele.

Kuna wajinga wanaofikiri kuwa uovu ukifanywa na watu wa dini yao basi unakua ni halali.
Yaani haramu ni ile inayofanywa na watu wa dini isiyokuwa yao na wanaishangilia; Kumbe Mungu anangalia haki bila kujali dini ya mtu wala chama cha siasa.
 
Tanzania ni Taifa lililokufa kiroho

Linaongozwa na watu waliokufa kiroho

Ndio maana Kuna ugumu wa wao kuongoza

Wachague kumrudia yeye atoaye madaraka au kufa na kamba shingoni 2025 uchaguzi haufiki Samia ajafa au kukimbia ikulu

Hua naangaliaga kwenye video clips mbalimbali na pia historia na uzoefu kwenye jamii.

Mwanamke akiamua kuwa katili anakua katili kuliko shetani . Yaani mpaka shetani anamuogopa ,yaani shetani ndio anamkimbia maana anadhuru mpaka mtoto wake wa kuzaa . Ndio pale anamtuma chooni kama kinyesi.

Mimi niliogopa sana awamu ya mia sita sitini na sita ilipokuwa na kauli mbiu ya ushindi ni lazima na hakuna cha Mungu akipenda .
Kifo ni kifo tu
Hawa sasa wamepata mikia.
Yaani Amiri jeshi mkuu anapotoa kkauli kama hizo mbele ya chombo cha kumlinda basi hayo ni maagizo . Na yanapotekelezwa anayafurahia. Ndio maana kule Mbeya kwenye tamasha la vijana wa Bavicha Yule kamishna aliyewapiga sana viongozi wa chadema kwa kusema kuwa mnawalea hawa ,alipongezwa . Mafwere mpaka sasa yupo kwenye nafasi yake ,kwa maana kuwa tuhuma zake sio mbele ya bosi wake. Ni zoezi na oparationi ya kuwakata mikia.
Karne hii hakuna kiongozi wa nchi yoyote ya kidemokrasia Duniani anayeweza kukaa kimya na kuwapongeza wateule wake wakati kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na watu kuuawa na kupotea . Eti kisa hata chadema waliwahi kutuhumiwa kuteka watu(Bila kujua kuwa ndani ya chadema kuna watu wapo kwa ajili ya kukidhoofisha na kuua demokrasia )
Yaani tulitegemea mkuu nchi atoe amri ya kuwakamata na kuwahoji wale waliotuhumiwa iwe ni ndani ya Polisi au chadema au CCM ili kukomesha uhalifu huo dhidi ya binadamu lakini matokeo yake akasema wanaota mikia . Kwa maana kuwa hawatakiwi walalamike zaidi ya kujikaza kisabuni maana kifo ni kifo tu kitawakuta iwe kwa kutekwa au vyovyote vile .

Pole sana Comredi Abduli NONDO kukataa kwako kuunga mkono juhudi ndiko kunakokuponza.

R.I.P Deus Challamilla.
 
Mungu/mungu wa Tanzania jina lake nani?
Au ni kikundi cha watu wahuni ndiyo unawaita mungu?
Kikundi kimeruhusu watu watekwe ovyo ovyo, kwani nchi haina utawala wa sheria?
Wenye kuonekana wanamakosa wafunguliwe kesi kuliko kuwateka na kuwaua.
Liko wapi baraza la usalama wa taifa?
Wako wapi wazee wastaafu waliolitumikia hili taifa kwa rank za juu, wameshindwa kuja pamoja wakakaa na kuwashauri watawala kwamba wanavyofanya sivyo?
Katiba hii ya 1977 wakati wa enzi zao ilikuwa sawa, wameshindwa kukamua kuwaweka mezani watawala na kuwashinikikiza kumalizia mchakato wa katiba mpya rasimu ile ya Warioba?
Hawa wazee wanafurahia kuwa na taifa la namna hii? Bandari kukodishwa watu wa nje?
Ngorongoro kupewa wajomba?
Wajukuu na vitunguu wa wastaafu wanaacha taifa la aina gani?
Hao wazee wajukuu zao wamepewa nafasi kwenye serikali kwahio hawawezi kupiga kelele wengine wanalelewa na hio hio serikali.
 
Sasa Hawa waarabu waliofunga kuhakikisha wanaitwaa Nchi itskuwaje🤔
 
Ndugu zangu watanzani kuna Mungu ktk Taifa la Tanzania ukiacha vyombo vya ulinzi na usalama na serikali pamoja na viongozi wake Mungu yupo.

Mungu anazungumza na watanzania, Mungu anazungumza na watawala.
Hakuna alie juwa siku moja nitakuwa kiongozi wa juu wa Taifa yote huja kwa rehema na neema za Mungu hivyo mlioko kwenye madaraka kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia kumbukeni sio lazima urudi ktk kiti umekikalia. Unaweza tumia nguvu na kila aina ya sarakasi kutaka ukikalie tena kiti ila kumbukeni bado mnaweza msikikalie.

Madaraka nikama koti lakuazima msijisahau wapo mnatamani viti zaidi ya hivyo mmevikalia ila wapo mnatamani kurudi viti vyenu vile vile hayo tumwachie Mungu hakuna ajuwaye.

Haki ndio msingi wa madaraka yenu mlio nayo tendeni haki maana kipengele hiki kitamfanya Mungu mwenyewe shuka nakuwatete wale wanyonge hakuna haja yakuandamana wala kufunga barabara ila Mungu mwenyewe anasema yeye ni Mungu wa haki.

Baada ya kusema hayo Mungu ananionyesha tusipo yatambuwa haya nimeanza nayo basi dhoruba inaweza kukipiga chombo na dhoruba yaweza kuwa kali sana ambayo haijawahi kushuhudiwa tangu kuanza kwa history ya vyama vingi. Kuna kila dalili ikiwa Mungu ataona inafaa kwa masilahi ya Taifa hili basi ata achia dhoruba ili tukae sawa na kisha tumuogope na hapa ndipo nakuomba ndugu Mtanzania ombea Taifa lako ombea viongozi na watanzania. Hatuto kuwa taif la kwanza wala lamwisho kukumbwa na dhoruba Mungu anatukumbusha kusoma alam za nyakati tunapo toka na kule tunaenda. Amen.

NB
Huu niutabiri ya yale nayaona ktk pich zakiroho sio lazima utimie maana kumbuka nimesema tuombe na hiyo ndio nji pekee kusimamisha dhoruba.

Upumbavu wako peleka kwa hao wliokutuma. Hiyo danganya toto kama ya CHADEMA kuamini watashinda uchaguzi kwa kutumiatume hii ya uchaguzi na mfumo uliopo. Ujinga mtupu. Kuna mambo ya kuombea mengine ni ya action.
Ndo maana watz wengi ni mazuzunduka. mimi siombei na niko tayari kwa lolote litakalotokea.
 
Back
Top Bottom