Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
 
Jasusi uchwara Yericko Nyerere atuambie hii ni Defcon ngapi
 
Gentleman,
hali ya kisiasa nchini ni shwari sana, licha ya comments nyingi unazodai kutolewa na waTanzania, kuonyesha wazi kwamba kuna changamoto ya kisaikolojia inayowatesa wengi wanaotumia mitandao ya kijamii.

Nadhani kama taifa,
inafaa kujipanga na rehab centers za kutosha kuaccomodate wanaopitia changamoto hiyo kwasababu mbalimbali.

Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan iendelee kuchapa kazi tu na itapendeza zaidi.
Kwangu mimi,
kuishi ni Kristo na kufa ni faida

R.I.P hayati Hafidhi Ameir 🐒
 
Kifo ni kifo tu!
 
Huyo raisi na chama chake na mapolisi wameua ndugu zetu wengi sana hakuna pole kwa muuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…