Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

Gentleman,
hali ya kisiasa nchini ni shwari sana, licha ya comments nyingi unazodai kutolewa na waTanzania, kuonyesha wazi kwamba kuna changamoto ya kisaikolojia inayowatesa wengi wanaotumia mitandao ya kijamii.

Nadhani kama taifa,
inafaa kujipanga na rehab centers za kutosha kuaccomodate wanaopitia changamoto hiyo kwasababu mbalimbali.

Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan iendelee kuchapa kazi tu na itapendeza zaidi.
Kwangu mimi,
kuishi ni Kristo na kufa ni faida

R.I.P hayati Hafidhi Ameir 🐒
Yaani wewe ungekua ndio mshauri wa raisi ungemuingiza shimoni mchana kweupe, maana rangi unaiona ni blue unang'ang'ania iwe nyeupe, hivi unashida gani mkuu? Hivi sio vitu vya kuviletea mzaha hata kidogo, kwa maana hata jipu huwa linaanza kama kakipele tu kadogo.

Huwezi kusolve tatizo kama huwezi kulikubali kwanza.

Kwa aina ya comment ambazo watu wanazitoa juu ya maswala ya aina hii inaonesha kabisa dhahiri ipo haja ya viongozi kuangalia wapi walikosea ili waweze kurekebisha ule umoja na mshikamano urudi.
 
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Ni Ujinga tu na Chuki, na wengi wao 97% ni Matanganyika na chogo zao....Wahed.
 
Yaani wewe ungekua ndio mshauri wa raisi ungemuingiza shimoni mchana kweupe, maana rangi unaiona ni blue unang'ang'ania iwe nyeupe, hivi unashida gani mkuu? Hivi sio vitu vya kuviletea mzaha hata kidogo, kwa maana hata jipu huwa linaanza kama kakipele tu kadogo.

Huwezi kusolve tatizo kama huwezi kulikubali kwanza.

Kwa aina ya comment ambazo watu wanazitoa juu ya maswala ya aina hii inaonesha kabisa dhahiri ipo haja ya viongozi kuangalia wapi walikosea ili waweze kurekebisha ule umoja na mshikamano urudi.
in fact chuki ni miongoni mwa changamoto za kisaikolojia ambayo inapelekea na kufanya binadamu kua na tabia kama za wanyama pori, mithili ya nyani kucheka kalio za nyani mwingine.

Taifa letu limejengwa katika msingi wa utu, heshima, umoja na mshikamano. Na waTanzania wote tupo hivyo tangu uhuru wa taifa letu, but wewe na mtoa hoja mnajaribu kuzifanya changamoto zenu za kisaikolojia hususani chuki binafsi, kanakwamba ni tatizo la taifa zima, huo ni upotoshaji useless kabisa gentleman.

Rehab centers zitajengwa na mtaenda kupata tiba huku waTanzania wengine wachapakazi, wakiendelea kupiga kazi za kulijenga taifa lao 🐒

I
 
Kazi ipo😅😅
 
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Watz wamevulugwa sana , hii haijawahi tokea, aisee ,wanatembea na hasira sana nyoyoni mwao
 
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Samia mwenyewe kawafundizha watu msemo wa kifo ni kifo tu.
 
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Mimi nimefurahi sana huyo mume wake kufa.

Angekufa kwa kuuliwa kwa kupigwa risasi kisogoni ingependeza zaidi.

Tumpe pole ya nini huyo muuaji?

Yeye lini alitoa pole kwa wapendwa wa huyu mtoto aliyemuua?

IMG_8710.jpeg

Ni kiongozi yupi wa CCM aliyetoa hata pole ya kinafiki?

Hapana kwa kweli. Mimi hayo mauaji yameniumiza sana na yamenibadili kabisa.

Sasa hivi nimekuwa jitu likatili dhidi ya kila kitu CCM.

Kila mara najawa na hisia za kutaka kumuua mtu yeyote yule aipendaye CCM.

Samia hastahili pole yoyote ile. Ni mkatili. Ni muuaji.

Kwanza nimesikitika kiaina hajafa yeye.

Na siku akifa yeye Samia labda wachome moto maiti yake.

La sivyo, akizikwa kaburini basi nitafanya juu chini niende nikalikojolee kaburi lake na hata ikiwezekana kunya kabisa hapo kaburini.

Fuack Samia.
 
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Chinjachinja hastahili kuonewa huruma. Huyu mzee aliyefariki, hajawahi kutukosea Watanganyika. Tunamuomba Mungu aikwanyue roho ya Abduli, aguse panapouma ili huyu mama mpumbavu ajue uchungu walioupata maelfu ya kina mama ambao watoto wao waliuawa kwa amri yake, ili azime mtandao na ajitangaze kuwa rais
 
Back
Top Bottom