Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

Hiyo ni ishara ya uongozi uliochokwa na usiotokana na wananchi, hiyo ni ishara kiongozi kutokukubalika na kuungwa mno na wananchi means hakuwepo hapo kwa ridhaa ya wananchi bali ni system
 
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Yeye ameshatoa pole kwa familia zilizopoteza wapendwa wao Oct/Nov 2025?
 
Unajionaje kuwa na kichwa flat screen ewe Mzanzibari mwenye elimu ya hapa na pale? Waache Watanganyika wafurahie kwa raha zao.
Mna upunguani mwingi sana, elimu yangu we waijua au kuishia kukariri hapo UDSM waona basi elimu kuubwa sio
 
Hapa ndipo umeonyesha chanzo cha mgawanyiko, ubaguzi na chuki zenu Wazanzibar.

Kumbe Mzanzibar hufurahia vifo vya Watanganyika na Watanganyika hufurahia vifo vya wazanzibar ? Kwa nini iwe siku hizi na sio miaka ya nyuma ???

Ukiyaita matanganyika nao watakuona takataka tu na kuwaita Mazanzibar vichwa vyao flat vya mbao.

Ungejiuliza, kwa nini wafurahie kifo ?

Wao walipofiwa kwa matukio mbalimbali, walifarijiwa na nani ?
Kwani amewakosea nini ninyi Mzee Ameir? kwanza hataa kwenye siasa hayumo, vipi mfurahie kifo chake?
 
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
You reap what you sow, Samia anavuna alichopanda. Nothing more nothing less.
 
Kwani amewakosea nini ninyi Mzee Ameir? kwanza hataa kwenye siasa hayumo, vipi mfurahie kifo chake?
Watu wanafurahia Samia kufiwa na mume wake kwa sababu na yeye amesababisha wanawake wengi wafiwe na waume zao, and even worse watu wamefiwa na ndugu zao na watoto wao kisa huyo kibibi
 
Kwani amewakosea nini ninyi Mzee Ameir? kwanza hataa kwenye siasa hayumo, vipi mfurahie kifo chake?
Binafsi sijashangilia kifo chake, nilikuwa namjibu huyo mbaguzi kichwa flat kama ubao Mzanzibure aliyetuita Matanganyika.
 
Back
Top Bottom