Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Duniani siku zote hutofautiana kwa mitazamo ikiwemo ya Vigo. Binafsi Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa nitapiga Konyagi hadi basi. Lakini Kuna watakaosikitika na kulia! Kwahiyo ndio hivyo!
 
Duniani siku zote hutofautiana kwa mitazamo ikiwemo ya Vigo. Binafsi Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa nitapiga Konyagi hadi basi. Lakini Kuna watakaosikitika na kulia! Kwahiyo ndio hivyo!
Mmezoea sana kuua watu unatamani mumnyonge Lissu wenyewe.
Huyu sweetheart wa Samia amekufa mwenyewe, hajauliwa na mtu. Tofauti kati yenu na watu wanaopinga maovu yenu ndio hiyo
 
Malcolm X,"...hatuwachukii wazungu,hatuna tu muda na wazungu".
 
Inasikitisha lakini haishangazi.

Swali tu alitoa pole kwa wale wa oct 29, au aliwaita majina mabaya kufifisha ukweli?

Halaf mtu huyo huyo apewe pole kirahis na watu wale wale ambao hakuwapa pole ?

Kuna mpasuko kwenye taifa ila watawala wanakaza fuvu
 
Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa na uongozi nchini. Tumwombe Mungu atutoe hapa!
Usitupangie jinsi ya kuonyesha furaha zetu.
 
Mmezoea sana kuua watu unatamani mumnyonge Lissu wenyewe.
Huyu sweetheart wa Samia amekufa mwenyewe, hajauliwa na mtu. Tofauti kati yenu na watu wanaopinga maovu yenu ndio hiyo
Lissu ATANYONGWA tu. Hizo blah blah zenu peleka kwa wazazi wenu. Watawavumilia!
 
Gentleman,
hali ya kisiasa nchini ni shwari sana, licha ya comments nyingi unazodai kutolewa na waTanzania, kuonyesha wazi kwamba kuna changamoto ya kisaikolojia inayowatesa wengi wanaotumia mitandao ya kijamii.

Nadhani kama taifa,
inafaa kujipanga na rehab centers za kutosha kuaccomodate wanaopitia changamoto hiyo kwasababu mbalimbali.

Serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan iendelee kuchapa kazi tu na itapendeza zaidi.
Kwangu mimi,
kuishi ni Kristo na kufa ni faida

R.I.P hayati Hafidhi Ameir 🐒
Unasema ni matatizo ya kisaikolojia? Inamaana haufahamu kabisa sababu?
 
Unasema ni matatizo ya kisaikolojia? Inamaana haufahamu kabisa sababu?
ni kubebwa kwako ufala wa kifikra na vibaka wa siasa Tanzania na kufuata kwako mkumbo kinyumbu ndio maana una matatizo hayo ya kisaikolojia yanayokutesa hivi sasa huku ukidai ni chuki 🐒
 
Yes,
na kuishi ni Kristo na kufa ni faida.

kumbuka ,
mwanadamu aliezaliwa na mwanamke, siku zake si nyingi na tena hujaa taabu 🐒
Acha kukariri kitabu kitakatifu Biblia huku unanuka damu za Watanganyika mlizomwaga na unashangilia kila siku mateso yao. Hadi unawawekea picha ya nyani kwenye kila comments zako.
 
"Never seek revenge.
Rotten fruit will fall by itself,
and the truth will always reveal itself in time.🎯"
 
Acha kukariri kitabu kitakatifu Biblia huku unanuka damu za Watanganyika mlizomwaga na unashangilia kila siku mateso yao. Hadi unawawekea picha ya nyani kwenye kila comments zako.
huenda wewe ndie uliekaririshwa upotofu na chuki binafsi na huyo mtoa hoja useless na mfuata mkumbo mwenzako.

Tanzania ni shwari,
na huenda anaepitia mateso ni wewe kwasababu ya chuki na uvivu wako. But as Tanzanians, tupo vizuri sana na kwakweli tunasonga mbele pamoja 🐒
 
in fact mtu kama wewe ni wazi unahitajika rehab center, kwasababu unazo sifa na dalili zote kamili za wanaohitajika huko 🐒
Pelekeni hilo shangingi lenzio rehab mmeua kupitiliza. Sasa ndio kamalizana na hicho kizee ili aendelee na lile tipwatipwa la Zimbabwe wakati wewe ukiendelea na lile sokwe la ccm
 
Back
Top Bottom