Watanzania, habari ya kuchunguzana kwanini tunakunywa bia kila siku haifai

Watanzania, habari ya kuchunguzana kwanini tunakunywa bia kila siku haifai

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Yaani kila siku ni kuhoji kwanini huyu anakula bia kila siku jioni na hujui kazi yake.

Hata kama hana kazi alishakuibia?

Alishakuja kukuomba bia?

Alishakuja kukuomba chakula?

Balimi buku jero. Bia nne mtu analewa hoi!
 
Kuna mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema " Chunga tu afya yako maana maisha watu wanakuangalizia"

Ubinadamu kazi Sana, Kuna watu watataka kujua kila hatua ya maisha yako.Kuanzia kwenye vyakula unavyotumia,marafiki zako na wengine watakariri mavazi yako yote😂
 
Back
Top Bottom