Rungwe88
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 353
- 722
Nchi imeshabadilika baada ya maelfu ya mauaji ya Watanzania kufanyika bila hatia, hivyo wananchi wamejaa na chuki, hasira, visasi, sumu n.k dhidi ya utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia.
Watanzania hawa wapo ndani na nje ya nchi hivyo chochote kinaweza kutokea Sasa kulingana na haya yanayoendelea ndani na nje ya nchi kuhusu Tanzania
Sasa watanzania mnatakiwa kubadilika katika maeneo yafuatayo
1. Acheni matumizi ya anasa.
Hapa nitazungumzia vijana wakiume kwa wakike.
Anasa kama kutumia pesa kwenye matumizi ya anasa kama bar, club, pombe, wanawake, mavazi, ufahari n.k
Nyakati zimebadilika Sasa hivyo wekeni akiba za pesa, vyakula, nishati kama gesi kadiri iwezekanavyo.
nchi imeshaharibika Sasa lazima tujifunze kuishi kulingana na Hali iliyopo mnaweza kuchukua mfano wa Congo, Sudan, Somalia n.k
Hakikisha una nauli utakayoweza kusafiri kwenda hata nchi jirani kama Kenya, Malawi, Zambia, Rwanda n.k
Pia sio mbaya baadhi ya pesa ukaweka katika mfumo wa pesa za kigeni zinazotambulika Dunia nzima kama USA-dollars,
British-Pound, Europe Union-Euro n.k
2. Vijana wakiume na wakike fanyeni mazoezi kila siku.
Vijana mliopo mijini na vijijini fanyeni mazoezi yatakayoweza kukufanya kuweza kutembea hata kilomita mia tatu ukiwa na mzigo kichwani au mgongoni, acheni hayo mazoezi ya kukuza ukubwa wa mikono kwa wanaume na makalio na hips kwa wanawake kwa lengo la muonekano.
hayo mazoezi kipindi kigumu hayatowasaidia.
Hivyo fanyeni mazoezi kama pull ups, push ups, running, stair walking, ab roller wheel n.k yani mazoezi yawe juu ya mwili wako mwenyewe achana na hayo mavyuma na hayo mamashine.
3. Vijana wakiume na kike acheni kula junks food.
Hayo matakataka mnayokula hayatowasaidia kwenye kipindi Cha Hali ngumu iliyopo na inayoweza kutokea.
Vituu kama chips, kuku broiler na matakataka mengine aina hiyo.
Tafuteni vyakula vya asili ambavyo vimepikwa kiasili kama wali, ugali ,samaki, nyama, ndizi, mboga za majani, matunda, viazi vitamu na mviringo, mihogo, magimbi n.k uzuri vitu hivyo kwa Tanzania ni Bei unayoweza kumudu kuliko Bei ya hizo junk foods.
4. Acha kufatilia taarifa zisizoongeza tija kwako.
Mfano taarifa za burudani kama mziki, movie, maigizo n.k bali fatilia taarifa chanya kutoka vyombo vyenye weledi kidogo duniani kama Al Jazeera, CNN, BBC, DW n.k achana na takataka kama TBC, ITV, Azam, Wasafi, Crown n.k ambazo Sasa ni propaganda machine za mafisadi wa CCM zidi ya wananchi
Nimeandika hayo machache sababu dakika chache zifuatazo nitaleta Uzi kuhusu maamuzi makubwa yaliyofanywa wa vijana watanzania kuhusu namna Bora ya kuikomboa nchi yetu nzuri toka mikononi mwa utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia na genge lake la utekaji, mauaji, ufiraji, ufisadi dhizi ya watanzania na rasilimali zao