Watanzania hali ya nchi imeshabdilika hivyo mnatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo kama ifuatavyo

Watanzania hali ya nchi imeshabdilika hivyo mnatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo kama ifuatavyo

Nchi yetu ni nzuri ila inapata hasara kwa kupata viongozi wa hovyo.
Kila siku ni propaganda za amani kuwahadaa wananchi na jumuia za kimataifa huku wao wakifanya ufisadi, utekaji, mauaji ya kutisha dhidi ya wananchi na rasilimali zake.
Ukweli umeshajulikana sasa
Lakini muasisi wetu Nyerere amezingua pakubwa. Aliimarisha zaidi foundation ya chama kimoja (CCM) badala ya kuangilia mustakabali wa taifa.

Hii ndiyo inanifanya nikasirike pale anapomwagiwa sifa zisizo zake.
 
Mbona Zenji kumetulia na walimwaga ya kutosha 2001? Acha porojo mkuu mambo yanaenda kuwa sawa soon! Hizi ni hangover za aliyekosa

Mimi nashauri serikali iwafuatilie wale wenye remote huko huko waliko. Mbona Saud Arabia waliweza?
Ukikua utaelewa tu usiwe na haraka.
Kwa Sasa unajua ila Bado haujaelewa
 
​

BBC director general and News CEO resign over Trump documentary edit​

​

BBC ‘100% fake news’, says Donald Trump’s press secretary​

​

​

'You are fake news': Trump attacks CNN and BuzzFeed at press conference​

​

Three CNN journalists resign after Trump aide article removed​

​

Israel bans Al Jazeera​

​

Benjamin Netanyahu threatens to expel al-Jazeera from Israel​

Nafikiri haujaelewa hapo nilipoandika vyombo vyenye weledi kidogo.
Pili Trump na Israel sio wasafi kiasi hicho kiasi kwamba tuwape uhalali wa kuwaamini wanapotuambia kwamba chombo hiki au kile Cha habari hakifai
 
uzuri hili kwa vijana wazalendo wote huo ni utaratibu wao wa kila siku

hili nafikiri ni kwajili ya vibaka waliokua wanataka kuleta vurugu wakishawishiwa na baadhi ya wazee waliokengeuka
Bila shaka kijana mzalendo unaemaanisha ni anayepinga utekaji, mauaji, ufisadi, ufiraji unaofanywa na hao watawala haramu uliopo unaoongozwa na samia
 
dakika chache zifuatazo nitaleta Uzi kuhusu maamuzi makubwa yaliyofanywa wa vijana watanzania kuhusu namna Bora ya kuikomboa nchi yetu nzuri toka mikononi mwa utawala huu haramu uliopo unaoongozwa na samia na genge lake la utekaji, mauaji, ufiraji, ufisadi dhizi ya watanzania na rasilimali zao
Nasubiri kuona hilo andiko
 
Lakini muasisi wetu Nyerere amezingua pakubwa. Aliimarisha zaidi foundation ya chama kimoja (CCM) badala ya kuangilia mustakabali wa taifa.

Hii ndiyo inanifanya nikasirike pale anapomwagiwa sifa zisizo zake.
Upo sahihi, Mzee Nyerere Kuna vitu alishaona ni vibaya kitaifa kama visipobadilishwa ila hakufanya hivyo kubadilisha na kitu hicho ni katiba.
Katiba yetu ni nzuri kama tutapata raisi mzalendo haswa, mpinga ufisadi, anayejali wananchi na rasilimali n.k
Ila katiba yetu inageuka mwiba mkali kwetu tukipata raisi fisadi, mtekaji, muuaji n.k kama alivyo samia sasa
 
Kulikua na haja gani kutaja pombe mkuu.
Pombe hata Mimi pia natumia,
ila pombe ni chanzo kikubwa Cha upotevu wa pesa, muda n.k
Pia pombe ni chanzo Cha magonjwa mengi kama Pressure, Figo, Ini, Kisukari, Ukimwi n.k
Hivyo kwa kipindi cha tahadhari kama hiki ni vyema kupunguza sana au kuacha kabisa kutumia pombe
 
Nmekusoma mkuu, na uko sahihi
 
Back
Top Bottom