Watanzania hali ya nchi imeshabdilika hivyo mnatakiwa kubadilika haraka iwezekanavyo kama ifuatavyo

Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Siasa ni biashara kubwa sana kuzidi biashara zingine.
Sio siasa sema ufisadi ni Biashara haramu inayofanywa na wanasiasa.
Sababu kama siasa zinafaida mtu wa kwanza alitakiwa kuwa bilionea kwa njia ya siasa ni Mzee Nyerere aliekua raisi kwa miaka zaidi ya 20 na aliachia madaraka kwa hiali yake,
lakini hadi leo familia yake wanauchumi wa kawaida
 
Mkuu umetisha. Umemaliza kila kitu. Hawa jamaa wanapofikiri hivi kumbe wengine wanawaza vile.

Unapofikiri unaweza kuzuia mlipuko wa volcano, usilipuke basi jiandae kwa madhara makubwa zaidi.
Nchi yetu hii ndugu, hatuna nchi nyingine bali Tanzania pekee.
Tusipoitetea Sasa zidi ya hawa mafisadi, watekaji, wauaji n.k wajukuu na vitukuu vyetu watatulaumu sana hata tutakapokufa kwa maisha magumu watakayokuwa wakiishi kipindi kijacho kwa uzembe wetu wa Sasa.

Unajua watu wanasahau historia kwamba hata Babu zetu kina Mkwawa, Kinjekitile, Nyerere n.k walipambania hii nchi na ndio maana sisi angalau tunaishi vizuri.
Sisi tukiwa waoga kupambana vizazi vyetu vitapata tabu sana
 
Sio siasa sema ufisadi ni Biashara haramu inayofanywa na wanasiasa.
Sababu kama siasa zinafaida mtu wa kwanza alitakiwa kuwa bilionea kwa njia ya siasa ni Mzee Nyerere aliekua raisi kwa miaka zaidi ya 20 na aliachia madaraka kwa hiali yake,
lakini hadi leo familia yake wanauchumi wa kawaida
Kusema ukweli Nyerere hakuwa mtu wa kutafuna Mali ya uma. Mtafunaji mkubwa ni Jakaya na nahisi ndiyo anayemshinikiza kubakiza madarakani Ili apate mwanya wa kuiba kirahisi.
 
Dah inaogofya sana hii. Ukiisoma tu na kuwaza katika mazingira halisi.
Usiogope ndugu, huo ndio uhalisia wa nchi Sasa.
Kwa wafuga vitambi ni wakati muafaka wakuachana na huo ujinga.
Mambo hayawezi kuwa mepesi tena.
 
Kusema ukweli Nyerere hakuwa mtu wa kutafuna Mali ya uma. Mtafunaji mkubwa ni Jakaya na nahisi ndiyo anayemshinikiza kubakiza madarakani Ili apate mwanya wa kuiba kirahisi.
Kuna Uzi humu niliandika kwamba jakaya ni mbuyu mkubwa ulioficha mashetani, wachawi na majambazi ambao wanafisadi mali za nchi, utekaji na mauaji kwa watanzania.
Hivyo mbuyu huo utakapokatwa na watanzania au kuanguka kwa neema za Mungu na hayo mashetani, wachawi na majambazi waliojificha watapotea.
 
Jakaya Yuko tayari kumweka taahira kama raisi (kwa sababu ana ushawishi huo) ili yeye na familia yake aendelee kunufaika.

Magufuli alimpoteza Jakaya kwenye ramani hadi huruma ndiyo maana alifanya juhudi zote kumwangamiza Magu hadi akafanikiwa.

Ukitaka kuamini hilo angalia jinsi Samia alivyoanza akwenda kinyume na yale aliyokuwa akiyafanya Magu muda mfupa baada ya kutwaa madaraka.
 
Kwa kifupi jakaya ndio tatizo kuu la hii nchi ndio maana nikamuita mbuyu unaohifadhi mashetani, wachawi, majambazi, mafisadi n.k
 
Hilo unalosema halina pingamizi mkuu. Jamaa anamseti Riziwani awe Rais kuanzia 2030.
Huyo Mzee anatamaa isiyo kawaida huyo hadi kijijini kwake msoga wanamchukia kwa roho mbaya yake.
Ukienda chalinze kwa wakwere wenzake wanamkubali Magufuli kuliko huyo mtu.
Kwa tamaa zake anafikiri ataishi milele.
Huu ulikua wakati wake kufanya Toba kwa umri wake kama ilivyokua kwa Mzee Mwinyi marehemu ila yeye anapuyanga na ufisadi, hovyo kabisa
 
Ukimwona kwa nje unaweza ukasema wa maana, ndani ana roho ya kutu sana huyu Mzee.
 
Uko sahihi kwa mtazamo wako, lakini naona makosa makubwa sana ya njia unazopendekeza kuikomboa nchi.

Tutakapo haribu Image ya nchi na nchi kwa ujumla itatuchukua gharama kubwa sana ku restore angalau mpaka hapa ilipo. Siku uchungu ukiisha(Particular msio wataka wakiondoka) baada ya muda mfupi sana, tutajua tuliwaza kwa ujinga kiasi gani.

Ni kweli watawala hawako sahihi, kwenye mambo mbalimbali. Lakin mpango mkakati wa kuwa replace haufai kuwa wa shortcut kama unavyopendekeza, maana hapo ni kama kubet.
Nakumbusha tena Maamuzi tunayofanya tukiwa na hasira/huzuni/furaha always yamekuwa mwiba katika maisha ya wengi duniani.
 
Back
Top Bottom