Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Nimeanza kuchukua hatua. Leo 5km chap. Mdharau mwiba...Usiogope ndugu, huo ndio uhalisia wa nchi Sasa.
Kwa wafuga vitambi ni wakati muafaka wakuachana na huo ujinga.
Mambo hayawezi kuwa mepesi tena.