Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Wako wapi Watoto wa Hayati Baba wa TAIFA, Mwl JKN?.
Wako wapi watoto wa Hayati Mkapa ? Mwanamapinduzi aliyechora ramani ya MapinduI ya kimaendeleo ya Taifa hili?.
Wako wapi Watoto wa Hayati Magufuli, Jembe lililofanya yasowezekana yakawezekana?.
Wako wapi??.
Sasa pimeni hili, Tazameni watoto wa Mwinyi, Watoto wa Kikwete, Watoto wa Samia.
Amkeni amkeni amkeni !!.