Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
sisis ni makafir..........wasitawaliwe na makafir ndilo lengo lao!Wako wapi Watoto wa Hayati Baba wa TAIFA, Mwl JKN?.
Wako wapi watoto wa Hayati Mkapa ? Mwanamapinduzi aliyechora ramani ya MapinduI ya kimaendeleo ya Taifa hili?.
Wako wapi Watoto wa Hayati Magufuli, Jembe lililofanya yasowezekana yakawezekana?.
Wako wapi??.
Sasa pimeni hili, Tazameni watoto wa Mwinyi, Watoto wa Kikwete, Watoto wa Samia.
Amkeni amkeni amkeni !!.
Watoto wa mkapa unawajua wapo wapi ukiwakiliza vzr watoto wa mwalim hawakua na matamanio ya kuongoza nchi labda mwaka wa magu makongoro alijaribu kugombea urais but Uzi wako unaongozwa na chuki na udiniWako wapi Watoto wa Hayati Baba wa TAIFA, Mwl JKN?.