Watanzania Hamna Maarifa ya Kuendesha Bandari: Ifike Muda Ukweli Usemwe.

Boss la DP World

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
2,318
Reaction score
8,464
Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza.

Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
 
Kweli lakini mkataba hauna tija na mabadiliko ni muhimu kwenye mkataba
 
Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza.

Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
Kafie mbele.... 🙂
 
Muda muafaka sasa na pale tanesco tuone namna ya kufanya kazi na private sector!!
 
Hata kumlipa mwendeshaji hatuwezi ? Yaani tumlete na kumlipa mshahara na kubakia na faida yetu yote.... , Au kumpatia kabandari huko Mtwara na sio hii Ambayo tushakopa World Bank....
 
Wala issue siyo uwezo wa kuendesha bandari,

Uwezo wa kujitawala hatuna, ukishakuwa na viongozi wasiokuwa na uwezo wa kufikiri mstakabali wa vizazi na vizazi hiyo siyo nchi bali ni saccos.

Tanzania ni saccos ya ccm ndiyo maana Kodi zinakusanywa zinagawanywa kwenye familia za viongozi wa chama na nchi ikizidi kufukarika kila kichwao.
 
Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza.

Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
Huna msimamo
 
Wala issue siyo uwezo wa kuendesha bandari,

Uwezo wa kujitawala hatuna, ukishakuwa na viongozi wasiokuwa na uwezo wa kufikiri mstakabali wa vizazi na vizazi hiyo siyo nchi bali ni saccos.

Tanzania ni saccos ya ccm ndiyo maana Kodi zinakusanywa zinagawanywa kwenye familia za viongozi wa chama na nchi ikizidi kufukarika kila kichwao.
Naam, na DPW tumegundua hilo na tutawapiga kweli kweli na huu mkataba wetu.
 
Sera ya ujamaa imetuharibu tukaivamia itikadi y ubepari na bdo tunamawazo ya ujamaa..hatuwez kufanikiwa ikiwa tunaiga maisha ya watu na tunawaiga nusu'no half man'
 
Back
Top Bottom