N Nangoro Senior Member Joined May 3, 2023 Posts 113 Reaction score 133 Sep 26, 2023 #21 Mawazo ya nyoka wa kijani
K Kamundu Platinum Member Joined Nov 22, 2006 Posts 7,823 Reaction score 10,857 Sep 26, 2023 #22 Boss la DP World said: Sasa ukiwa na tija mimi ntapataje faida? Kumbukeni namimi nategemea kuwapiga hapo hapo. Click to expand... Faida ina uhusiano gani na tija. Hizo ni fikra za wala rushwa. Faidi inapatikana kwa ulipaji wa usafishaji sio sheria za mikataba ya maisha
Boss la DP World said: Sasa ukiwa na tija mimi ntapataje faida? Kumbukeni namimi nategemea kuwapiga hapo hapo. Click to expand... Faida ina uhusiano gani na tija. Hizo ni fikra za wala rushwa. Faidi inapatikana kwa ulipaji wa usafishaji sio sheria za mikataba ya maisha