Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza.
Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
Kafie mbele.... 🙂Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza.
Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
Naomba account no yakoKafie mbele.... 🙂
Sasa ukiwa na tija mimi ntapataje faida? Kumbukeni namimi nategemea kuwapiga hapo hapo.Kweli lakini mkataba hauna tija na mabadiliko ni muhimu kwenye mkataba
Bwege tu wewe...unaleta utani kwa mambo muhimu😡Naomba account no yako
Kwamba akitoa account tu jioni hii ataanza kusema mama mitano tena🤣🤣🤣🤣Naomba account no yako
Mama lazima tumfurushe 2025 kura zote kwa mgombea wa DPW. Tunataka kuwaletea kiongozi mzuri toka Dubai maana miaka 60 mmeshindwa hata kutengeneza sindano.Kwamba akitoa account tu jioni hii ataanza kusema mama mitano tena🤣🤣🤣🤣
Muda muafaka sasa na pale tanesco tuone namna ya kufanya kazi na private sector!!Hiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza.
Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
Mnipe tanesco pia maana imekuwa ya hovyo kama maharageMuda muafaka sasa na pale tanesco tuone namna ya kufanya kazi na private sector!!
Mnachoweza nyie ni pombe na mademu tu. Niachieni bandari tafadhali.Hata kumlipa mwendeshaji hatuwezi ? Yaani tumlete na kumlipa mshahara na kubakia na faida yetu yote.... , Au kumpatia kabandari huko Mtwara na sio hii Ambayo tushakopa World Bank....
Huna msimamoHiyo bandari mmeiendesha kwa miaka zaidi ya 60, katika kipindi hicho kuna muda mmewapa wawekezaji wazawa na hawajaweza.
Kwanini msikubali tu kukaa pembeni hata kama mkataba mnadai ni mbovu lakini kufa kufaana, hili jambo ni lakisheria ila tunaweza kulifanya kindugu pia. Aaagh.
Naam, na DPW tumegundua hilo na tutawapiga kweli kweli na huu mkataba wetu.Wala issue siyo uwezo wa kuendesha bandari,
Uwezo wa kujitawala hatuna, ukishakuwa na viongozi wasiokuwa na uwezo wa kufikiri mstakabali wa vizazi na vizazi hiyo siyo nchi bali ni saccos.
Tanzania ni saccos ya ccm ndiyo maana Kodi zinakusanywa zinagawanywa kwenye familia za viongozi wa chama na nchi ikizidi kufukarika kila kichwao.
Msimamo wangu ni kuwa vilaza wanao waongoza wameshindwa kuendeleza bandari, kwahiyo nataka mnikabidhi mimi nipige hela ntawaletea zawadi ya tende.Huna msimamo
Kwakifupi mmekuwa kama oscar oscarSera ya ujamaa imetuharibu tukaivamia itikadi y ubepari na bdo tunamawazo ya ujamaa..hatuwez kufanikiwa ikiwa tunaiga maisha ya watu na tunawaiga nusu'no half man'