Hahaha, huwezi pata PhD ya Kemia Kimagumashi mzee. Lazima uwe vizuri upstairs. You can do magumashi huko kwenye Law and the like , never Science.Hili nalo halina ubishi, sio kwa sampuli yao ile ya maprofesa ndomboloo, sijui kina Palamagamba. Wasomi lakini wakifungua midomo yao hata drop out wa darasa la kwanza anabaki mdomo wazi. Bila kumsahau yule mwanakemia wao na ile PhD yake ya kimagumashi.
Unasema?Unajua hata Jf yenyewe imetengenezwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi ndio maana inakuja hapa kutamba na isitoshe hata wamiliki wa Jamiiforums wametokea pande za Nakuru [ale na shule ya msingi walisoma Kakamega.
Ukitaka ujue kwanini havitambuliki na haviwezi kusikika waangalie wachache tu waliopata PhD tulio nao kwenye uongozi tabia zao, maamuzi yao kwenye maswala ya kiuongozi na kisiasa, carreer background zao kama zina utafiti na utoaji wa ripoti za utafiti... utajua ni matunda au ni nini. ukitaka usikie matunda ya vyuo kutokana na production ya miaka ni awle watu wanacho kichangia katika dunia, nchi na maeneo mbali mbali ya sasa hivi. majengo ya vyuo hayawezi kukitambulisha chuo hata siku moja.Hizo huwa mnatutajia humu akina UDSM sijui UDOM hawapo hawatambuliki wala kusikika, ndugu zetu hata sayansi naona mnitelekeza kwa kauli za kuponda chanjo ya korona huku mkiendelea kupokea chanjo ya maradhi mengine kutoka kwa hao hao mabeberu.
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and 13 in Africa by a new Webometrics Ranking.
Makerere University in Uganda was ranked 14th in Africa right behind UoN in East Africa, with Egerton University in Kenya ranking 37th in Africa and third in the region.
Eight Kenyan universities made it to the top 200 list in the new ranking of universities in Africa released this week. Kenyatta University is third in Kenya and 40 in Africa.
Moi University and Jomo Kenyatta University of Science and Agriculture (JKUAT) are position four and five in the country respectively. In the continent, they are ranked number 50 and 51 respectively.
Technical University of Kenya (TUK) was position 147 in Africa and sixth in Kenya. Maseno University follows closely at position seven in the country and 157 in the country. Strathmore took position eight in the country being the only private university in the top 200.
Masinde Muliro University of Science and Technology ranked number 218 in Africa and ninth in Kenya as University of Embu 229 in Africa summing up the top 10 list in Kenya
University of Nairobi Ranked Top University in Kenya
The University of Nairobi has been ranked the top institution in East Africa and number 13 in Africa by the new Webometrics Ranking.www.kenyans.co.ke
Hivi kati yako na yengu nani anajua kingereza vyema ?Nimewaambia muache hasira mkajifunze kingereza.... nenda kasome ndio uje ujibizane na Wakenya.
He watumiaji wengi ni raia wa kisii na moyaleUnajua hata Jf yenyewe imetengenezwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi ndio maana inakuja hapa kutamba na isitoshe hata wamiliki wa Jamiiforums wametokea pande za Nakuru [ale na shule ya msingi walisoma Kakamega.
Niko kalemii-Congo apa nafurahia lingara ya hawa wenyeji ,wanapiga pia kiswahili japo sio kwa lafudhi nzuri.ila wanapenda Sana hii Lugha ,sijutii sababu kiingereza nakitumia kwa kazi na issue ndogondogo mambo mengine Swahili Kama kawa.sasa wewe icho kiingereza unachojua kina kupa pesa ngapi per month?Au ndo inakufanya uwe royal family basi
So unataka kusema kunyaland umeme uwa aukatiki!?Umeme wa sasa licha ya kuwa mnazalsha mdogo sana ukilinganisha na wetu, lakini bado hamuutumii, unasalia mwingi ilhali full mgao kote kote, huwa naona nyuzi za Watz wakilalamika kukatikiwa na umeme kila siku.
Nimewaambia muache hasira mkajifunze kingereza.... nenda kasome ndio uje ujibizane na Wakenya.
So unataka kusema kunyaland umeme uwa aukatiki!?
Uwa= huwaSo unataka kusema kunyaland umeme uwa aukatiki!?
Hii hapa 😂 😂 😂
View attachment 1689578
wewe umesikia 1.5trn ukatoka ndani na chupi mkononi unaishadadia,unajua hiyo ni pesa inafananaje[emoji38][emoji38][emoji38].Naona umeamua kutokelezea na akili za makada was sisiemu. Bure kabisa, eti uchumi wa Kenya haukui? Tena Kenya inaenda kuwapiga double kwenye GDP. Miradi mmetekeleza mingapi hadi ikaisha ukilinganisha na Kenya? Umesahau zile 1.5T alizotafuna jiwe? Hebu rudi Lumumba ukaimbe sisiemu mbere kwa mbere ukimsifia Jiwe kwa miradi yake mikubwa ya maendeleo kule jamhuri mpya ya Chato.
Hawakimudu lugha=hawaimudu lughaUwa= huwa
Aukatiki= haukatiki
Halafu kucha kutwa kelele humu jinsi wakenya hawakimudu lugha.
Macho yako uliazima mtu??Nini kinachokuaminisha hili bango liko Tanzania.
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji3545][emoji3545][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]Macho yako uliazima mtu??